The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
🤣🤣🤣🤣Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana
Eh makubwa haya 😂Wakuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana.
Rais Samia ameyasema hayo katika Sherehe ya kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi katika viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.
View attachment 3362110
Wauaji wakubwa haoWakuu