eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Shem kunywa kwanza maji kisha tulia. Halafu uje tena.Mpuuzi wewe unaongea nini! kaa kwa shemeji yako huko
🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem kunywa kwanza maji kisha tulia. Halafu uje tena.Mpuuzi wewe unaongea nini! kaa kwa shemeji yako huko
Serikali inachukua hatua ya kumkamata mtu hasa kwa kesi kubwa kama hizo za ugaidi baada ya kujiridhisha sana na matokeo ya uchunguji. Ukiona Mbowe amekamatwa jua kuna ushahidi wa kutosha. Yeye mwenyewe Mbowe anajua ukweli. Unashangaa kuchukua mwaka kumkamata gaidi. Marekani iliwachukua miaka mingapi kumtia Hosama bin Laden mikononi na hatimaye kumuua? Serikali inaendelea kuchunguja wote wanaojihusisha na vitendo vya hujumu huchumi na ugaidi. Jihadhari usiwe ukawa ni miongoni mwa wanaochunguzwa au ndugu zako wengineKama kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe alikuwepo mahakamani tangu mwaka Jana kabla ya uchaguzi, Umoja wa Mataifa na watetezi wa haki za binadamu wanasubiri nini kuitangaza Tanzania kuwa nchi inayoongoza duniani kwa "Ustaarabu wa Kijinai?"
Maana hakuna nchi duniani ambayo ingeweza kumwacha anatamba mitaani mtuhumiwa mkuu wa votendo vya ugaidi na kuua viongozi. Yaani tuseme viongozi wa Tanzania walikuwa tayari wauawe na GAIDI huku wakichekelea lakini hawako tayari kuona Mtanzania akienda mahakamani kusikiliza kesi dhidi ya GAIDI huyo? Inachukua mwaka mzima kumkamata GAIDI lakini haiishi hata sekunde kumkamata mwananchi aliyekwenda Kisutu kusikiliza kesi dhidi ya GAIDI huyo?
UN, Amnesty nk mnaionea gere Tanzania, itangazeni mara moja kuwa nchi bora katika Ustaarabu wa kijinai.
SawaShem kunywa kwanza maji kisha tulia. Halafu uje tena.
🤣🤣🤣
Alivyowindwa miaka tuhuma tu asingekuwa uraiani, achilia kukamilika kwa ushahidi.Serikali inachukua hatua ya kumkamata mtu hasa kwa kesi kubwa kama hizo za ugaidi baada ya kujiridhisha sana na matokeo ya uchunguji. Ukiona Mbowe amekamatwa jua kuna ushahidi wa kutosha. Yeye mwenyewe Mbowe anajua ukweli. Unashangaa kuchukua mwaka kumkamata gaidi. Marekani iliwachukua miaka mingapi kumtia Hosama bin Laden mikononi na hatimaye kumuua? Serikali inaendelea kuchunguja wote wanaojihusisha na vitendo vya hujumu huchumi na ugaidi. Jihadhari usiwe ukawa ni miongoni mwa wanaochunguzwa au ndugu zako wengine
Mbona Uganda watu wanafuatwa mpaka Uturuki wanakamatwa na Dunia imekaa kimyaUhuru UPI huku wakiutumia wanakamatwa.
Na wengine bado wapo mikononi kwa Polisi
Amesema hawataki siasa za watu kuandamana na kuchoma magari, hakusema kwamba chadema wamechoma magariAna elimu ndogo tu kama mimi ya hapa na pale.
Amefunguliwa kesi juzi ila uchunguzi dhidi yake ulikuwepo toka mwaka janaKama kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe alikuwepo mahakamani tangu mwaka Jana kabla ya uchaguzi, Umoja wa Mataifa na watetezi wa haki za binadamu wanasubiri nini kuitangaza Tanzania kuwa nchi inayoongoza duniani kwa "Ustaarabu wa Kijinai?"
Maana hakuna nchi duniani ambayo ingeweza kumwacha anatamba mitaani mtuhumiwa mkuu wa votendo vya ugaidi na kuua viongozi. Yaani tuseme viongozi wa Tanzania walikuwa tayari wauawe na GAIDI huku wakichekelea lakini hawako tayari kuona Mtanzania akienda mahakamani kusikiliza kesi dhidi ya GAIDI huyo? Inachukua mwaka mzima kumkamata GAIDI lakini haiishi hata sekunde kumkamata mwananchi aliyekwenda Kisutu kusikiliza kesi dhidi ya GAIDI huyo?
UN, Amnesty nk mnaionea gere Tanzania, itangazeni mara moja kuwa nchi bora katika Ustaarabu wa kijinai.
Ilitakiwa tumjue aliyetulisha matango pori Ni nani hyo??Dunia ililishwa matango pori.
Ngoja tuwasubiriWajuzi wa sheria watatufahamisha tunasubiri
Yule hana jipya zaidi ya kutafuta huruma ya maumbile yake,yani yupo kwende kundi la mazuzuWakuu, nadhani wote tunakumbuka Nini kilijiri katika mahojiano ya mwenye nchi na Salimu Kikeke...
Si ni CHIEF HANGAYAIlitakiwa tumjue aliyetulisha matango pori Ni nani hyo??