Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Daah nazidi kumkubali Prof Assad, alilizungumzia hili hivi majuzi tuu kwamba anashangaa mawaziri kukimbizana huko field/ mawilayani wakati siyo jukumu Lao... Akamalizia labda kama issue ni per diem...Kumbe ni kugombania per diem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VP si yupo Malawi hata sasa hiviVP yeye mbona hampi safari makamu wakati enzi za mwenda yeye alimegewa masafari ya kumwaga?
Alafu utaskia Mimi nilishatembea Manchu kibao saivi natafuta michongo!!! Kumbe posho za safari, tuna mabalozi msiendeende nje!!
Hakuna anayetaka kutumikia wananchi zaidi ya maslahi binafsiRais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo ytofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi
Rais amesema amewahi kuwa Waziri na hakuwahi kuwa na ugomvi na Naibu wake kwa kuwa alikuwa anajua nafasi yake
Kumbe ni kugombania per diem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakuta Waziri anaanza Safari Dodoma-Tabora-Katavi-Rukwa-Songwe-Mbeya-Iringa-Morogoro-Pwani-Dar then anarejea Dodoma baada ya wiki 3 za Per diemsDaah nazidi kumkubali Prof Assad, alilizungumzia hili hivi majuzi tuu kwamba anashangaa mawaziri kukimbizana huko field/ mawilayani wakati siyo jukumu Lao... Akamalizia labda kama issue ni per diem...