Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Alijificha wakati upelelezi wake unaendelea. Amerudi na upelezi umethibitisha pasipo kuacha doa la shaka kuwa ni gaidi na hivyo akakamatwa. Simple and clear.Mtu anayejificha anatokaje nje ya nchi bila kukamatwa? Na kama alijificha alipokuwa akiingia nchini kwanini hakukamatwa? Uongo mwanzo mwisho!
Jezebel of our time is at workAccording to the Biblical narrative, Jezebel, along with her husband, instituted the worship of Baal and Asherah on a national scale. In addition, she violently purged the prophets of Yahweh from Israel, damaging the reputation of the Omride dynasty.[5][6][7][8] For these offences, the Omride dynasty was annihilated, with Jezebel herself suffering the gruesome death of defenestration.
Ni unabii hauna budi kutimiaJezebel of our time is at work
mama anaongozwa na akina sirori kudanganya umma,siroi alisema mbowe amepanga kulipua vituo vya mafuta,Askari wetu wanahitaji msaada,kauli hii inaonyesa uwezo wa akili wa wana usalama wetu,Nini ilikuwa intention ya mbowe kulipua vituo vya mafuta?Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?
Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??
Mimi sikumuona...Mbona kila mtu alimuona Mbowe alipokuwa Nairobi?...
Mimi sikumuona.
Acha ujinga wewe!!! Mbowe hajawahi kujificha na wala haitatokea ajifiche. Eti upelelezi umethibitisha!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣 upelelezi wa kufanywa na polisiccm ambao kesi zao 150 huyo wa kudemka alizifuta kwa ushahidi FEKI!?
Alijificha wakati upelelezi wake unaendelea. Amerudi na upelezi umethibitisha pasipo kuacha doa la shaka kuwa ni gaidi na hivyo akakamatwa. Simple and clear.
..Maza anadai alimuona alikojificha Nairobi.🤣
Ugaidi ni shida, mama ana fuata haki, here we go.Mjinga kama wewe unajitambua kweli au unaishi kama zuzu!
Kwenda msibani alitokea wapiAngesema Lisu alijificha Nairobi ningemuelewa. Lakini Mbowe mbona ametoka msibani kisha akaenda Mwanza, unasemaje huyu mtu alijificha.
Pia kudai Katiba wala hakujaanza mwaka huu.
Na uislamu wote alionao ?Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?
Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??
Mimi sikumuona lakini wewe unadai kila mtu alimuona. Hii imekaaje?..Maza anadai alimuona alikojificha Nairobi.🤣
Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.
Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae...
Mimi sikumuona lakini wewe unadai kila mtu alimuona. Hii imekaaje?