Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

Kwa sasa Ukizungumzia KATIBA MPYA Uwezokano wa KUKAMATWA na KUBAMBIKIZIWA kesi ya UGAIDI ni ASILIMIA 100 Kilichomponza Mh. MBOWE ni MCHAKATO wa KUDAI KATIBA MPYA na wala Sio UGAIDI.

Na kuthibitisha hili hebu Angalia hii KAMATA KAMATA ya WAPINZANI ilivyopamba MOTO kila WAPINZANI hasa wa CHADEMA Wanapokusanyika WATAWALA Wanajua WANAZUNGUMZIA KATIBA MPYA.

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
According to the Biblical narrative, Jezebel, along with her husband, instituted the worship of Baal and Asherah on a national scale. In addition, she violently purged the prophets of Yahweh from Israel, damaging the reputation of the Omride dynasty.

[5][6][7][8] For these offences, the Omride dynasty was annihilated, with Jezebel herself suffering the gruesome death of defenestration.
 
According to the Biblical narrative, Jezebel, along with her husband, instituted the worship of Baal and Asherah on a national scale. In addition, she violently purged the prophets of Yahweh from Israel, damaging the reputation of the Omride dynasty.[5][6][7][8] For these offences, the Omride dynasty was annihilated, with Jezebel herself suffering the gruesome death of defenestration.
Jezebel of our time is at work
 
Kudai Katiba Mpya sasa hivi mtu unaweza kupewa kesi hata ya kuiba vifaru vya jeshi au kuiba ndege za kivita.

CCM hawana jipya sasa, wameshaanza kufarakana wao kwa wao.

Profesa Polepole na Askofu Gwajima imefikia hatua wanampiga vijembe Mwenyekiti wao kwenye swala la Chanjo za Covid 19 wazi wazi, licha ya kukemewa na kikao cha CCM kilichokaa ikulu week iliopita.

Mfa maji lazima atapetape.
 
Tafsiri ya kiroho inatisha sana
Anaondoka kiongozi mkuu
Anaondoka mlinzi wa kanuni na sheria
Anaondoka mtendaji mkuu
Anaondoka mlinzi wa kaya.
Nyumba inabaki na nani?

Je utimilifu wa kikomo cha kafara la kusini umetimia?[emoji848][emoji2827]
 
Hivi Mbowe alijificha lini Nairobi?

Mama anajua kuwa kusema uongo ni dhambi??
mama anaongozwa na akina sirori kudanganya umma,siroi alisema mbowe amepanga kulipua vituo vya mafuta,Askari wetu wanahitaji msaada,kauli hii inaonyesa uwezo wa akili wa wana usalama wetu,Nini ilikuwa intention ya mbowe kulipua vituo vya mafuta?

kutokusoma ama elimu ya kishakiji walionayo makuruta wetu ni DHAMBI
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acha ujinga wewe!!! Mbowe hajawahi kujificha na wala haitatokea ajifiche. Eti upelelezi umethibitisha!!!! 🤣🤣🤣🤣🤣 upelelezi wa kufanywa na polisiccm ambao kesi zao 150 huyo wa kudemka alizifuta kwa ushahidi FEKI!?
Alijificha wakati upelelezi wake unaendelea. Amerudi na upelezi umethibitisha pasipo kuacha doa la shaka kuwa ni gaidi na hivyo akakamatwa. Simple and clear.
 
Mbowe ana kesi ya kujibu kama ilivyo sbaya tatizo wengi hatupend kusikia tusichokipenda....binafsi naona mda mda utahukumu ila siwexi kusema mbowe ni malaika hawezi kutenda dhambi.kama mimi naweza hata mbowe anaweza na kiufupi jamaa ana tamaa so wacha mda uongee.
 
Angesema Lisu alijificha Nairobi ningemuelewa. Lakini Mbowe mbona ametoka msibani kisha akaenda Mwanza, unasemaje huyu mtu alijificha.

Pia kudai Katiba wala hakujaanza mwaka huu.
Kwenda msibani alitokea wapi
 
Acheni kujitoa fahamu nyie bavicha..ni kweli mbowe kipindi alikuwa hayupo mpaka alivyofariki Magufuli ndio akaibuka na kudai alikuwa nje ya Nchi kutafuta uwekezaji.
 
Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu.

Anyway Leo ndo nimemjua rais tulienae...

BAVICHA inabidi watumie akili na busara za mtu wa kawaida. Haiwezekani kwamba wao wanajua kila kitu anachokifanya au alichowahi kufanya Mbowe.

Kuna mambo Mbowe anafanya au amewahi kuyafanya, ambayo hata mke wake mwenyewe hajui. Sheria iachwe ichukue mkondo wake!
 
Back
Top Bottom