johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tigo hao wanatuibia sanaPia nape amtoe tunapigwa tukiweka vocha sh 100 unaambiwa kuna huduma ulijiunga ambavyosiokweli nape achia wizara tafadhali nakuomba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo hao wanatuibia sanaPia nape amtoe tunapigwa tukiweka vocha sh 100 unaambiwa kuna huduma ulijiunga ambavyosiokweli nape achia wizara tafadhali nakuomba
Baadhi ya watu linapotokea jambo huchukulia kama nwanya wa kutapika chuki zao dhidi ya mtu au ndio fursa kwao ya kuchomekea au kupigia debe jambo ambalo hapo awali kabla ya tukio wasingeweza mfano huyu mtoa mada hapa. Maoni yako hayawezi kuwa ndio uwe msimamo wa waziri . Waziri anaongozwa na sheria katika utendaji wakw wa kazi sio jazba. Waziri ametia adhabu kulingana na ukubwa wa kosa na wale watumishi wa serikali amewasimamisha kazi na amesema watafukuzwa kazi ikibidi sasa wewe bado kwako unaona axhabu ni ndogo halqfu unataka maoni yako ndiyo yawe agizo la kufutwa kazi waziri!Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Lakini nasikitika kusema kwamba kazi hii nzuri iliyofanywa na NECTA kufichua uovu imetiwa shubiri na waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kutoa adhabu ndogo sana kwa wahusika waliotaka kuharibu mustakabali wa maisha ya mabinti wadogo wasiokuwa na hatia.
Nilitegemea Mkenda aifutilie mbali shule hii badala yake ametoa adhabu ya kufungia kituo cha mitihani. Adhabu hii ni sawa na bure kwani kufuta kituo cha mitihani huku wanafunzi wa shule hiyo wakipangiwa kituo kingine cha kufanyia mitihani hakuwezi kuwazuia kuendelea na mchezo wao wa kubadilisha namba za mitihani za wanafunzi. Suluhisho la kudumu ni kuifungia shule moja kwa moja isiendelee kutoa elimu ili liwe fundisho mujarabu kwa wahalifu wengine wanaofanya mchezo huu usiofaa.
Watoto hao waliobadilshiwa namba za mitihani wangeonekana wamefeli maisha yao yangewaribikia wakati hawana hatia yoyote. Inauma sana. Nashauri viongozi wa kiislamu waingilie kati wamlazimishe mumiliki wa shule aondoke neno Islamic kwenye jina la shule anautia aibu uislamu na kuonea watoto waislamu wenye akili kama hao wasichana wa kiislamu waliowabadilishia namba.
Kumekuwa na tuhuma kuwa vyuo vikuu vinajaa wakristo tu kwa sababu eti waislamu wengi wanafelishwa sekondari kumbe kwenye shule zenyewe za waislamu kuna tatizo. Sasa hao vilaza waliofanyiwa mitihani na wanafunzi wenye akili isingegundulika mapema wangeenda sekondari na hao wenye akili wangebaki nyumbani. Na hao waliofanyiwa mitihani hata kidato cha sita wasingetoboa.
Mitihani ya form four (CSE) tu wangeweza kupata division zero na kuongeza idadi ya waislamu wanaopata division zero sekondari. Na kuwajengea waislamu siasa kali ni hoja zisizokuwa na mashiko kuwa waislamu wanafelishwa sekondari. Kumbe vilaza walipelekwa tu na viongozi wa shule za kiislamu wenye majina ya kiislamu wasionna hofu ya Allah wamehongwa kupitisha watoto nusu kaputi kwa kudhulumu wale wenye jitihada na wanaomlingania Allah kama huyo msichana.
USHAURI
Namshauri Mh Rais mama Samia Suluhu Hassan amfute kazi waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kushindwa kusimamia haki. Ameshindwa kufanya kazi yake sawasawa na pia amedhalilisha dini. Haiwezekani amchafue rais wetu nje, ndani halafu wapenda haki tukae kimya.
Kwa habari zaidi kuhusu hii skandali, soma makala zifuatazo:
Profesa Mkenda asema wanafunzi saba walibadilishiwa namba za mtihani
Shule ya Chalinze Modern Islamic yafungiwa kwa muda usiojulikana
Huyu Bibi mwenyewe ajiuzulu tu. Viongozi wasio maono wanalizamisha hili taifa.Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Lakini nasikitika kusema kwamba kazi hii nzuri iliyofanywa na NECTA kufichua uovu imetiwa shubiri na waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kutoa adhabu ndogo sana kwa wahusika waliotaka kuharibu mustakabali wa maisha ya mabinti wadogo wasiokuwa na hatia.
Nilitegemea Mkenda aifutilie mbali shule hii badala yake ametoa adhabu ya kufungia kituo cha mitihani. Adhabu hii ni sawa na bure kwani kufuta kituo cha mitihani huku wanafunzi wa shule hiyo wakipangiwa kituo kingine cha kufanyia mitihani hakuwezi kuwazuia kuendelea na mchezo wao wa kubadilisha namba za mitihani za wanafunzi. Suluhisho la kudumu ni kuifungia shule moja kwa moja isiendelee kutoa elimu ili liwe fundisho mujarabu kwa wahalifu wengine wanaofanya mchezo huu usiofaa.
Watoto hao waliobadilshiwa namba za mitihani wangeonekana wamefeli maisha yao yangewaribikia wakati hawana hatia yoyote. Inauma sana. Nashauri viongozi wa kiislamu waingilie kati wamlazimishe mumiliki wa shule aondoke neno Islamic kwenye jina la shule anautia aibu uislamu na kuonea watoto waislamu wenye akili kama hao wasichana wa kiislamu waliowabadilishia namba.
Kumekuwa na tuhuma kuwa vyuo vikuu vinajaa wakristo tu kwa sababu eti waislamu wengi wanafelishwa sekondari kumbe kwenye shule zenyewe za waislamu kuna tatizo. Sasa hao vilaza waliofanyiwa mitihani na wanafunzi wenye akili isingegundulika mapema wangeenda sekondari na hao wenye akili wangebaki nyumbani. Na hao waliofanyiwa mitihani hata kidato cha sita wasingetoboa.
Mitihani ya form four (CSE) tu wangeweza kupata division zero na kuongeza idadi ya waislamu wanaopata division zero sekondari. Na kuwajengea waislamu siasa kali ni hoja zisizokuwa na mashiko kuwa waislamu wanafelishwa sekondari. Kumbe vilaza walipelekwa tu na viongozi wa shule za kiislamu wenye majina ya kiislamu wasionna hofu ya Allah wamehongwa kupitisha watoto nusu kaputi kwa kudhulumu wale wenye jitihada na wanaomlingania Allah kama huyo msichana.
USHAURI
Namshauri Mh Rais mama Samia Suluhu Hassan amfute kazi waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kushindwa kusimamia haki. Ameshindwa kufanya kazi yake sawasawa na pia amedhalilisha dini. Haiwezekani amchafue rais wetu nje, ndani halafu wapenda haki tukae kimya.
Kwa habari zaidi kuhusu hii skandali, soma makala zifuatazo:
Profesa Mkenda asema wanafunzi saba walibadilishiwa namba za mtihani
Shule ya Chalinze Modern Islamic yafungiwa kwa muda usiojulikana
Rais gani anaweza kusikiliza ujinga wako wa hivyo?.Unaona ni vitu rahisi rahisi vyakujikurupukia tu.Tuliza kalio unisome vizuri wewe mama; usihemke bila sababu. Ndiyo maana hii kesi nimeipeleka kwa Rais moja kwa moja au ulitaka niiliete kwa basha wako wee mbwa pori?
Sio kwa wananchi wa hii nchi.hadi december tutakua tumeshasahau kila kitu.Ni wananchi wachache wanaowaza mambo kama hayo.ata hivyo adhabu ikishatolewa kwa wahusika shule bado itaendelea kutoa elimu.Kiufupi hiyo shule itaporomoka vilivyo kwa sasa, naamini Januari itakuwa nadra sana mzazi kumpeleka mwanaye hapo
Sasa ndiyo aachie shule iendelee kupiga kazi kuna waalimu kibao wapo kitaa wanasikilizia mchongo Kama huu, maana hao wanaotemeshwa mapengo yao lazima yazibwe kazi iindeleee!!!Waziri ameshasema wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.
Je Waziri wa Mambo ya ndani akikuta kuna udanganyifu kituo Cha police uliofanywa na police wachache, inamaana atakifunga hicho kituo Cha police!!!??Sasa ndiyo aachie shule iendelee kupiga kazi kuna waalimu kibao wapo kitaa wanasikilizia mchongo Kama huu, maana hao wanaotemeshwa mapengo yao lazima yazibwe kazi iindeleee!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mama akimfuta uwqziri ndio uteuliwe wewe. Ni adhabu ndogo umepima kwa mizania gani?.. waziri kafanya kam alivyoshauri na kamati iliyopewa jukumu la kifuatilia tuhumu sasa ukitaka yeye atangaze nafunga shule, shule si itabadili jina na kusajili kwa jina lingine, au afungie majengo.serikali ni kichuguu waliofanya udanganyifu watasubiri AU tatu kama walivyoapa siku ya kiapo kuwa waadilifu.Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Nawapongeza Baraza la Mitihani (NECTA) kwa kufanya kazi nzuri ya kufichua uovu uliofanywa na Shule ya Chalinze Islamic Modern School kuwabadilishia wanafunzi 7 namba za mitihani kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Lakini nasikitika kusema kwamba kazi hii nzuri iliyofanywa na NECTA kufichua uovu imetiwa shubiri na waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kutoa adhabu ndogo sana kwa wahusika waliotaka kuharibu mustakabali wa maisha ya mabinti wadogo wasiokuwa na hatia.
Nilitegemea Mkenda aifutilie mbali shule hii badala yake ametoa adhabu ya kufungia kituo cha mitihani. Adhabu hii ni sawa na bure kwani kufuta kituo cha mitihani huku wanafunzi wa shule hiyo wakipangiwa kituo kingine cha kufanyia mitihani hakuwezi kuwazuia kuendelea na mchezo wao wa kubadilisha namba za mitihani za wanafunzi. Suluhisho la kudumu ni kuifungia shule moja kwa moja isiendelee kutoa elimu ili liwe fundisho mujarabu kwa wahalifu wengine wanaofanya mchezo huu usiofaa.
Watoto hao waliobadilshiwa namba za mitihani wangeonekana wamefeli maisha yao yangewaribikia wakati hawana hatia yoyote. Inauma sana. Nashauri viongozi wa kiislamu waingilie kati wamlazimishe mumiliki wa shule aondoke neno Islamic kwenye jina la shule anautia aibu uislamu na kuonea watoto waislamu wenye akili kama hao wasichana wa kiislamu waliowabadilishia namba.
Kumekuwa na tuhuma kuwa vyuo vikuu vinajaa wakristo tu kwa sababu eti waislamu wengi wanafelishwa sekondari kumbe kwenye shule zenyewe za waislamu kuna tatizo. Sasa hao vilaza waliofanyiwa mitihani na wanafunzi wenye akili isingegundulika mapema wangeenda sekondari na hao wenye akili wangebaki nyumbani. Na hao waliofanyiwa mitihani hata kidato cha sita wasingetoboa.
Mitihani ya form four (CSE) tu wangeweza kupata division zero na kuongeza idadi ya waislamu wanaopata division zero sekondari. Na kuwajengea waislamu siasa kali ni hoja zisizokuwa na mashiko kuwa waislamu wanafelishwa sekondari. Kumbe vilaza walipelekwa tu na viongozi wa shule za kiislamu wenye majina ya kiislamu wasionna hofu ya Allah wamehongwa kupitisha watoto nusu kaputi kwa kudhulumu wale wenye jitihada na wanaomlingania Allah kama huyo msichana.
USHAURI
Namshauri Mh Rais mama Samia Suluhu Hassan amfute kazi waziri wa elimu Adolf Mkenda kwa kushindwa kusimamia haki. Ameshindwa kufanya kazi yake sawasawa na pia amedhalilisha dini. Haiwezekani amchafue rais wetu nje, ndani halafu wapenda haki tukae kimya.
Kwa habari zaidi kuhusu hii skandali, soma makala zifuatazo:
Profesa Mkenda asema wanafunzi saba walibadilishiwa namba za mtihani
Shule ya Chalinze Modern Islamic yafungiwa kwa muda usiojulikana
haoni kuwa uamuzi alioutoa ni sahihi sababu ukiifuta shule kungewaathili wanafunzi wengi zaidi lkn kwa kutumia busara kaamua kufunga kituo.mtoa uzi ana mihemuko na anaonekana hata akipewa kitongoji hawezi kukiendesha.Ni sahihi kufungia kituo cha mtihani, badala ya kuifuta shule kwasababu..
- Wasimamizi wa mitihani sehemu nyingine hawatakuwa hao wa hapo palipofungiwa.
- Hiyo shule imeshajichafulia sifa yake, kuna uwezekano mkubwa wazazi wenye watoto pale wakawaondoa watoto wao next year, hata wale waliokuwa na mpango wa kupeleka watoto wao hawatawapeleka tena.
- Hao wasimamizi/walimu wa kituo kilichofungiwa hawawezi kuaminika kwenda kusimamia sehemu nyingine.
- Kuifutilia mbali hiyo shule, leo wanafunzi wakiwa wanaelekea kumaliza mwaka wa masomo, kutawaletea usumbufu wazazi wasiohusika na huo ujinga uliofanywa na wachache, kuwahamisha watoto wao.
Sioni sababu ya kumfuta kazi waziri wa Elimu, hatua aliyochukua kwangu inatosha, muhimu mwenye shule akajieleze kwa wizara ni hatua gani atachukua kuhakikisha hilo tatizo halijirudii, maelezo yake yasiporidhisha, wizara iamue itavyoona inafaa.
Hebu tupia huo utetezi wake ili nasi tuchambue pumba na mchele vinginevyo utamwonea Waziri.Kwenye sakata hili ndio Riziwan alikuja kwa kasi sana kama vile kutaka kuisafisha Chalinze Modern Islamic, tunamtaka aandike tena andiko kama alivyoandika siku Iptisam anatoa malalamiko yake
Hii ni kweli kabisa hata mimi vodacom wamenikata sh 20,000 eti nilikopa kwao. Na siku hizi hata wameondoa mazungumzo ya moja kwa moja "customer care"Pia nape amtoe tunapigwa tukiweka vocha sh 100 unaambiwa kuna huduma ulijiunga ambavyosiokweli nape achia wizara tafadhali nakuomba
Mitandao yote kwasasa inatupiga lakini halotel na tigo mmepita kiwangoTigo hao wanatuibia sana