Tambua kuwa baraza la mitihani la Tanzania,kwa sheria iliyolianzisha,ya mwaka 1973;Ni chombo chenye mamlaka kamili na sheria zake nyingi haziathiriwi na taasisi zingine.
Hivyo adhabu hii iliyotolewa ndiyo adhabu sahihi kulingana na uzito wa kosa.
Adhabu iliyotolewa ni ndogo sana. Walimu wanaovujisha mitihani tu hufungwa jela sembuse hawa waliobadilisha namba za watahiniwa eti wanafutwa kazi tu bila kufungwa jela. Inasikitisha sana.