Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Unajua madhara ya mamba mkubwa hivyo kuroam freely?

Bora nchi imepata mapato na mamba kauwawa, siku zake zilikua zinahesabika na angeuwawa bure kabisa. BTW hunting is legal in TZ.
Bora useme ww watu wana mihemuko.
 
Muwindaji ametembelea mamba wote Tanzania? Kuwa makini na kazi ni kupima ukubwa wa kila mamba?
 
Muwindaji ametembelea mamba wote Tanzania? Kuwa makini na kazi ni kupima ukubwa wa kila mamba?
Umemuona mamba mwenyewe kwenye YouTube ?
Ni mamba kweri kweri !!
Lakini ndo ameshakufa !!
Bad luck Mungu alishaamua iwe hivyo 😅😅 ! Kama kawaida yetu kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu !! 🙏🙏
 
Umemuona mamba mwenyewe kwenye YouTube ?
Ni mamba kweri kweri !!
Lakini ndo ameshakufa !!
Bad luck Mungu alishaamua iwe hivyo 😅😅 ! Kama kawaida yetu kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu !! 🙏🙏
Kwa akili yako, kipi ambacho kinatakiwa kuwindwa au kuvunwa? Mamba mzee aliyeishi miaka mingi au mamba wadogo wanaokua?
 
Kwa akili yako, kipi ambacho kinatakiwa kuwindwa au kuvunwa? Mamba mzee aliyeishi miaka mingi au mamba wadogo wanaokua?
Mamba yeyote yule anapaswa kuvunwa isipokuwa tu yule mkubwa kuliko wote Duniani !!
Huyo angekuwa ni moja ya attractions kubwa kwenye utalii. !!
Ni vyema tukawa tunakubali kukosoana ili tupige hatua zaidi !!
Akili ya wengine hudhani kila anayekosea ni wa Chama cha Upinzani !
Sisi wengine hatuna Chama ni Raia wema tu na tunajulikana japo tunatumia fake ID 🪪 😅🙏🙏
 
I meant wanaokosoa !
 
Ukiomuona amekua mkubwa hivyo jua amekaribia siku zake za mwisho, so ni bora kuwindwa akafaidisha taifa
 
Unajua madhara ya mamba mkubwa hivyo kuroam freely?

Bora nchi imepata mapato na mamba kauwawa, siku zake zilikua zinahesabika na angeuwawa bure kabisa. BTW hunting is legal in TZ.
Nyama ya mamba ni tamu sana Kwa sisi tulio wai kula..
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia

Mara ngapi wameibua na mangapi yakafanyiwa kazi?
Marangapi wanaibua mambo halaf wahusika wanakemea just tu ni wapinzani? Na wao wanachoka ni bonadamu pia
 
Ushauri wangu hili achaneni nalo mrudi kwenye lile ambalo Waziri wenu aliwaingizieni Chupa watanzania kwenye sehemu ya kupitishia haja kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…