Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Kwa watu wenye Akili nzuri yule Mamba angekuwa kivutio kizuri sana kwa utalii !!
“ Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani yupo Tanzania 🇹🇿 “
Yaani mkubwa kuliko Mamba wote Duniani ! Kisha anatokea mjinga mmoja anatoa kibali cha mamba huyo auwawe 😱😱 Rushwa ni mbaya !!

Kweli kabisa. Nadhani hata mamlaka zilikuwa hazijui Kama Kuna mamba mkubwa Kama huyo Tanzania
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Acha Ujinga wewe,umeambiwa CDM ndo msemaji pekee wa Taifa hili,Raslimali ni mali ya Taifa ,wananchi wote tunawajibu wakulinda raslimali zetu,hiyo ni akili Mgando kuona CDM ndo wasemaji tu.
 
Tukisema kuna mbegu zimetumika vibaya watu mnaona kama tunawazarau ila ukweli ni kuwa baba ako alitumia mbegu zake vibaya. Unashindwa kuilaumu CCM na serikali kwa kuruhusu haya unailamu CHADEMA kwa kutokusema? Condom moja tu ingezuia mjinga mmoja
🙌 Kwakweli
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia

Kwa hiyo wanaCCM wanafaidika na kuuliwa kwa Mamba siyo ....!!
 
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu

Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Serikali ndio ya kulaumiwa maana chadema wakisema mtasema oh cheap politics wanadandia dandia kwa matukio
 
Mnatoa kibali cha uwindaji na uuaji, unatoa askari wa kuambatana na muwindaji kwenda kushuhudia mauaji, unaweka fedha kibindoni kwa siri, kisha unataka CDM wafanye nini!?

Bwashee dalili za ugonjwa uliokuwa nao, rejea maoni ya Dkt. Janabi hivi karibuni.
Na picha anapiga mbele yao.
 
Kwa watu wenye Akili nzuri yule Mamba angekuwa kivutio kizuri sana kwa utalii !!
“ Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani yupo Tanzania 🇹🇿 “
Yaani mkubwa kuliko Mamba wote Duniani ! Kisha anatokea mjinga mmoja anatoa kibali cha mamba huyo auwawe 😱😱 Rushwa ni mbaya !!
Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?

Na umejuaje kama ni mkubwa kuliko wote duniani? Au hata ni mkubwa kuliko wote Tanzania? Au kwa sabt muwindaji wake amejigamba vile?
 
Royal Tour Tanzania inazidi kufungua sekta ya utalii wa uwindaji

1703754848244.png

With well managed controlled hunting programs we can raise the needed funds to do what is needed, to increase wildlife numbers as a whole and even save species from extinction. This is one such hunt. The funds generated by this hunters is used to keep this wild area wild, to give thousands of animals a place to live and breed. Hunting a few protects the whole ecosystem.
 
Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?

Na umejuaje kama ni mkubwa kuliko wote duniani? Au hata ni mkubwa kuliko wote Tanzania? Au kwa sabt muwindaji wake amejigamba vile?
Hakuna ukweli wowote,ndio mamba mkubwa zaidi Tanzania na Duniani,No record research on that.
 
Kwan hao waarabu waliokabidhiwa Loliondo mnafikiri watakuja kupiga picha tu sio?
 
Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?

Na umejuaje kama ni mkubwa kuliko wote duniani? Au hata ni mkubwa kuliko wote Tanzania? Au kwa sabt muwindaji wake amejigamba vile?
Kama hawajulikani maana yake watu hawako makini na Kazi zao !!
Kuhusu muwindaji kujigamba ni kwamba yule ni kazi yake ile hivyo alichokisema ana uhakika !!
Wale sio kama sisi tunaopenda sifa za uongo uongo !!
Maana anajua dunia imeshasikia na itafuatilia !!
 
Back
Top Bottom