econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Tangu mwaka 2023 uanze leo umeongea pweinti!
Yesu alisema " Wataendaje wasipopelekwa?"
Na wewe huwa unaongea Nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu mwaka 2023 uanze leo umeongea pweinti!
Yesu alisema " Wataendaje wasipopelekwa?"
Ama Siasa au Sihasa 😂🌟Na wewe huwa unaongea Nini?
Kwa watu wenye Akili nzuri yule Mamba angekuwa kivutio kizuri sana kwa utalii !!
“ Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani yupo Tanzania 🇹🇿 “
Yaani mkubwa kuliko Mamba wote Duniani ! Kisha anatokea mjinga mmoja anatoa kibali cha mamba huyo auwawe 😱😱 Rushwa ni mbaya !!
Acha Ujinga wewe,umeambiwa CDM ndo msemaji pekee wa Taifa hili,Raslimali ni mali ya Taifa ,wananchi wote tunawajibu wakulinda raslimali zetu,hiyo ni akili Mgando kuona CDM ndo wasemaji tu.Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuwawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Ama Siasa au Sihasa 😂🌟
🙌 KwakweliTukisema kuna mbegu zimetumika vibaya watu mnaona kama tunawazarau ila ukweli ni kuwa baba ako alitumia mbegu zake vibaya. Unashindwa kuilaumu CCM na serikali kwa kuruhusu haya unailamu CHADEMA kwa kutokusema? Condom moja tu ingezuia mjinga mmoja
Enzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Serikali ndio ya kulaumiwa maana chadema wakisema mtasema oh cheap politics wanadandia dandia kwa matukioEnzi za Jasiri Dr Slaa haya mambo ya Mamba mkubwa kuliko wote Duniani kuuawa yangeibuliwa Mapema Sana ila hii Chadema ya sasa yote imevimbewa inaachilia hewa nzito nzito tu
Yesu akasema ole wenu mnaocheka sasa maana baadae mtalia
Huyo mamba mbona alikuwa hata hafahamiki mzee kabla ya huyo mzungu? Tanzania kuna maelfu kibao ya mamba na wengine hawajawahi kuonekanaWhistle blowers wamechoka !!?
Huyo Mamba alitakiwa awe kivutio cha Utalii Nchini !!
Rushwa ni mbaya wajameni !! 😱
Na picha anapiga mbele yao.Mnatoa kibali cha uwindaji na uuaji, unatoa askari wa kuambatana na muwindaji kwenda kushuhudia mauaji, unaweka fedha kibindoni kwa siri, kisha unataka CDM wafanye nini!?
Bwashee dalili za ugonjwa uliokuwa nao, rejea maoni ya Dkt. Janabi hivi karibuni.
Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?Kwa watu wenye Akili nzuri yule Mamba angekuwa kivutio kizuri sana kwa utalii !!
“ Mamba mkubwa kuliko Mamba wote Duniani yupo Tanzania 🇹🇿 “
Yaani mkubwa kuliko Mamba wote Duniani ! Kisha anatokea mjinga mmoja anatoa kibali cha mamba huyo auwawe 😱😱 Rushwa ni mbaya !!
Hakuna ukweli wowote,ndio mamba mkubwa zaidi Tanzania na Duniani,No record research on that.Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?
Na umejuaje kama ni mkubwa kuliko wote duniani? Au hata ni mkubwa kuliko wote Tanzania? Au kwa sabt muwindaji wake amejigamba vile?
Maajabu sana !Kweli kabisa. Nadhani hata mamlaka zilikuwa hazijui Kama Kuna mamba mkubwa Kama huyo Tanzania
Watu hawako seriously na kazi zao ndio maana hawafahamu vitu vya namna hiyo !!Huyo mamba mbona alikuwa hata hafahamiki mzee kabla ya huyo mzungu? Tanzania kuna maelfu kibao ya mamba na wengine hawajawahi kuonekana
Kama hawajulikani maana yake watu hawako makini na Kazi zao !!Huyo mamba wangapi walikuwa wanamfahamu kabla? Tanzania kuna mamba wangapi? Wote wanafahamika?
Na umejuaje kama ni mkubwa kuliko wote duniani? Au hata ni mkubwa kuliko wote Tanzania? Au kwa sabt muwindaji wake amejigamba vile?
Nyongo ya mamba ndio hatari zaidi. Waulize watu waishio mialoni mwa Ziwa Victoria wakupe ukweli kuhusu hilo.Damu ya mamba ni kali MNO
Wataalamu wawahi mtanishukuru baadae
Ila sijui kapewa lini Wizara hii?Naunga mkono simbachawene afutwe kaxi