Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

Sijui umeelewa alichoongea mkuu ,unafahamu maana ya kibali? Unajua kama Kuna watu wanamiliki bastora Kwa kibali maalumu, ?
Unaonaga raia Wanakamatwa Kwa kuua wanyama pori kiholela lakini Kwa kibali wanaruhusiwa unakwenda unalipia unachotaka kufanya kama unashida na nyama ya swala unalipia hiko kibali unakwenda kuwinda kulingana na gharama na idadi ya kibali ukicholipia kwahyo huwez jua yamkini ameua akiwa na kibali hakukurupuka ?

Unaanza kuuliza faida Gani inapatikana Kwani lengo la kuweka kibali ni nini si Ili iingize foreign currency/ pesa za ndani kawaida ambayo ndio yanakuza Pato la taifa au unajua mbuga za wanyama na hifadhi Kwa ujumla zipo kwaajili ya kuwaangalia wanyama tu ?

Na Inshort huyo mzungu sio mjinga aue bila kibali halaf apost world wide, Kaa ukijua atakuwa kapata kibali Kwa mamlaka husika hawakurupuki kufanya vitu hao.
 
Matunda ya The Royal Tour hayo wenyewe wanajipongeza.

 
Hakuna mahala mzungu amehujumu uchumi,TAWA wamesema anawinda kihalali na ana kibali na leseni.

Wawindaji wako wengi tuu sio huyo pekee.Labda swali la kuniuliza Je hata Hawa wanyama ambao Wana sifa za upekee kama huyu mkubwa zaidi Duniani Walitakiwa kuvunwa?
 
Kwa Uzito wa huyo mamba.. Jamaa amewezaje kumpandisha hapo juu... apewe hongera zake kwa kwel
 
Yeye kashindwa kujifuta kazi kwa kukaribisha waarabu Ngorongoro na kuwatimua wamaasai ili waarabu wa UAE wapate vitalu hivyo vya uwindaji ndio leo aje amfute waziri aliyemteua kisa mzungu kaua mamba?
 
BNongwa ni Mamba Mkubwa😀😀😀
Shida sio kibali...
Mamba wa kuvunja World record kumbukeni.
 
Nilijaribu kufungua threads za malalamiko na kumtag mello threads zilifutwa zote walibadili nikakuta KIBUDEE nikaona bora yaishe nikabidili tena hili la KIBU DEE MKANDAJI
 
Daaah!!!
Unajiona unajua Sana 🤣🤣🤣🤣 nijicheke maana huna u GT hata kidunchu.. kisa forum upo upo tu..

Sasa hao si uwaulize moderators au?
Nilishakuuliza kutaka kujua wewe asili yako ni wapi maana kiswahili chako kina walakini, au we ni miongoni mwa familia ya DAB ambaye anasemwa kuwa anao rafiki wenye asili ya nje!
 
Tusijidanganye kwamba ameamua kumuua huyo mamba bıla ya kuwa na kibali.huyu alichokifanya kibaya ni kutokuwa na roho ya kujali hasa mazingira na miaka ambayo huyo mnyama ameishi leo unakatiza uhai wake kwa ukatili kisa ni kibali unacho,huu ni ukatili japo hawezi fanywa lolote maana amepewa kibali.
 
Mzungu amelipia kumuua huyo Mamba, nchi zote duniani zenye mbuga za wanyama kuna malipo ya uwindaji, na kila mnyama ana bei yake, kuna baadhi ya wanyama ambao idadi yao inapunguzwa na kuna idadi zao zinalindwa. Pili Tanzania kuna mpango wa muda sasa wa kupunguza idadi ya mamba, kwa sababu wamekuwa wengi sana na hatari kwa wananchi, na kwa bahati mbaya wawindaji wengi hawataki kuwinda mamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…