Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawezi kufanya chochote madam mgao maza kaupata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...!.Mzungu huyu ameonekana akiwa na maafisa wa wanyama pori akifurahia kumuua mamba mkubwa mwenye urefu zaidi ya mita 4 ndani ya hifadhi moja wapo ya Taifa.
Huu ni uhujumu wa makusudi ambae umefadhiliwa na vyombo vya dola (maafisa wa hifadhi kwani kazi ya kumuwinda mamba mkubwa kama huyo na hatimae kumuua na kuanza kumburuta na kumfunga abebwe sio jambo la siri na clips zimeenea mitandaoni na dunia nzima.
Mzungu husika akamatwe kama ndugu zetu na jamaa wanavuokamatwa hata kwa kukutwa na vipande vya nyama tu ya kitoweo cha familia.
Waziri husika nae aachie ngazi, ikiwa watu wanafikia hadi kufanya ujangiri wa kuhujumu uchumi huku wanalindwa na vyombo vya dola na wakijitajgaza wazi wazi, je vungapi hatuoni ambavyo ni zaidi ya hivi?
===
Raia mmoja wa Kizungu anayejiita Bowmarbow hunting ameonekana mitandaoni akitrend kwa kujisifu kuua Mamba mkubwa zaidi kutoka Tanzania.
Kupitia Instagram yake ameandika kuwa ameingia kwenye rekodi ya kuua Mamba mkubwa zaidi.
Ameandika haya;
“PENDING NEW WORLD RECORD CROC with a bow. This monstrous crocodile measured in at an astounding 16’ 3”! Making him the largest croc in history to ever be harvest with a bow and arrow. The best part is, he’s a 100% wild & 100% free ranging croc in the wilds of Tanzania, which is not how most of the WRs are shot in Africa.
This hunt was beyond incredible to say the least, I can’t wait to share it with you all! The footage we captured was some of our best and this is by far the biggest animal ever shot with a beast_broadheads at 25 yards with an 84lb bow and only a 530 gr arrow it buried through his armor and went all the way up to the fletching.
Just a crazy testament to the lethality of the head.
PSA: As for the Broadheads, next week we’ll be opening them back up for you everyone again A thank you all for your patience with being sold out”
Je, ni sahihi kwa Wanyama kama hawa kuuawa kiholela kwa ajili ya kuweka Rekodi?
Bongo 5
Na ndiyo kilichofanyika. Namshangaa huyu mleta mada.!!Labda aña vibali.....asikilizwe kabla kukurupukaa.....mamba wako wengi sana...ukiomba kibali na kulipia unaua tuu wapungue
Kenya ya babakoKenya hiyo
Haya 😂🌟Kenya ya babako
Malaria itaongezeka maana mbu watakuwa wengi sana.Madhara yake ni yapi?
Wewe kumbafff jana siulikuwa unachoma mapaja ya mbuzi? Hukuua mbusiiii wewe? Hukudhulumu nafsi ya mbusi wewe mbusiii?Dah reptile kadhulumiwa nafsi hivihivi na beberu.
Inasikitisha sana.
HahahaWewe kumbafff jana siulikuwa unachoma mapaja ya mbuzi? Hukuua mbusiiii wewe? Hukudhulumu nafsi ya mbusi wewe mbusiii?
Mkaldayo wewe ni mbusiiiii.
Wewe kumbafff jana siulikuwa unachoma mapaja ya mbuzi? Hukuua mbusiiii wewe? Hukudhulumu nafsi ya mbusi wewe mbusiii?
Mkaldayo wewe ni mbusiiiii.
Tuwaulize huko Lumumba mbona kila uchaguzi mnakuja na sera za kutatua matatizo ya wananchi ila mkishaiba uchaguzi mnajitoa ufahamu?Waziri kwani yupo hapo pichani?
Wanawake wanazalia chini kwa mateso na maumivu. Vitanda havitoshi hilo nalo mbona hampigii Debe!!!
Wapo watu wana vibali vya kuwinda hasa wanyama ambao.hawako hatarini kutoweka na wanyama kama mamba kuna wakatinwanatakiwa kuwindwa ili kupunguzwa
Mngetusaidia tujue mnazungumzia Hifadhi ipi na tukio limetokea liniMzungu huyu ameonekana akiwa na maafisa wa wanyama pori akifurahia kumuua mamba mkubwa mwenye urefu zaidi ya mita 4 ndani ya hifadhi moja wapo ya Taifa.
Trophy hunting ni biashara kubwa tu, na ina taratibu zake. Swali la muhimu kabla ya kuja na hamaki ni "utaratibu ulifuatwa"?Wapo watu wana vibali vya kuwinda hasa wanyama ambao.hawako hatarini kutoweka na wanyama kama mamba kuna wakatinwanatakiwa kuwindwa ili kupunguzwa
Hamna taarifa za kutosha kwenye hili jamboMngetusaidia tujue mnazungumzia Hifadhi ipi na tukio limetokea lini
Jamaa huwa ananifurahishaga sana anavyojirekodi huku akiongea sauti ndogo akishangilia waisrael wanavyowapigaga HAMAS pale Palestina.Wewe kumbafff jana siulikuwa unachoma mapaja ya mbuzi? Hukuua mbusiiii wewe? Hukudhulumu nafsi ya mbusi wewe mbusiii?
Mkaldayo wewe ni mbusiiiii.