Muache mihemuko, haya ndiyo mafanikio ya Royal Tour Tanzania.
Mnyama maji mamba wamezidi kuwa wengi hivyo ni vizuri kuvunwa kwa kupitia utalii wa uwindaji.
Kubwa ni kuibeba stori hii kwa mizania inayostahili badala ya kucheza ngoma ya mabeberu au washindani wetu katika utalii makini wa kuwinda kupunguza idadi kubwa ya mamba na kuhakikisha wananchi wanakuwa salama pia kuwepo kizazi endelevu cha mamba ili utalii huu pia uwe wa manufaa kwa nchi na dunia kwa ujumla.
Stori hii ibebwe kwa umakini wa kusapoti Royal tour Tanzania, na habari hii haina uhasi/ negativity kwa utalii bali dunia ieleweshwe na kupewa taarifa sahihi na kupromoti maliasili hii adimu.
BOTSWANA
MOZAMBIQUE
NAMIBIA
SOUTH AFRICA
UGANDA
ZIMBABWE
Watafutwe waandishi wa habari nguli na watu wa PR Public Relations wajibu hii story kwa lugha zote wa watalii wetu Kiingereza, Kijerumani, Kiarabu, KiHispania n.k ili iishie kuwa ni habari njema kwa utalii wa Tanzania kwa kuwapa elimu walimwengu kuwa mamba wamezidi kupita kiasi Tanzania hivyo kuvunwa kwa kupitia uwindaji ni jambo jema kwa Tanzania na wale watalii wawindaji.
Mnyama maji mamba wamezidi kuwa wengi hivyo ni vizuri kuvunwa kwa kupitia utalii wa uwindaji.
Kubwa ni kuibeba stori hii kwa mizania inayostahili badala ya kucheza ngoma ya mabeberu au washindani wetu katika utalii makini wa kuwinda kupunguza idadi kubwa ya mamba na kuhakikisha wananchi wanakuwa salama pia kuwepo kizazi endelevu cha mamba ili utalii huu pia uwe wa manufaa kwa nchi na dunia kwa ujumla.
Stori hii ibebwe kwa umakini wa kusapoti Royal tour Tanzania, na habari hii haina uhasi/ negativity kwa utalii bali dunia ieleweshwe na kupewa taarifa sahihi na kupromoti maliasili hii adimu.
ShowTime” is down! This two year journey has came to a beautiful endWe heard a lot about how a good story can have a disappointing ending, but can a bad story have a good written ending?
Explore Our Hunting Regions
BOTSWANA
MOZAMBIQUE
NAMIBIA
SOUTH AFRICA
UGANDA
ZIMBABWE
Africa is home to all the dangerous and big game species
Big Game Hunting in Africa | Chapungu-Kambako SafarisWatafutwe waandishi wa habari nguli na watu wa PR Public Relations wajibu hii story kwa lugha zote wa watalii wetu Kiingereza, Kijerumani, Kiarabu, KiHispania n.k ili iishie kuwa ni habari njema kwa utalii wa Tanzania kwa kuwapa elimu walimwengu kuwa mamba wamezidi kupita kiasi Tanzania hivyo kuvunwa kwa kupitia uwindaji ni jambo jema kwa Tanzania na wale watalii wawindaji.