Rais Samia Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.”

Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari, 2026📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama – Dodoma.
 

Wanasheria sasa wanatumika kama daraja ..... kila mwezi wana issue yao. Mgeni rasmi ni yeye....!!
 
Hebu aulizwe ni lini anakuja huku mikoani kutushukuru kwa kumpatia kura ml 32, au hizo kura aliiba sio za kweli?!.
Vijana wangu jiandaeni kumpokea Rais wenu kipenzi baada ya hii Hafla itakua mkoa kwa mkoa wilaya kwa wilaya hakika 29/10 mlimuonesha mapenzi makubwa.​
 
Mods ondoeni huu uzushi mama yuko Dar es Salaam mda huu
 
Evil woman atateseka sana miaka yake iliyobaki Tayari wake.
Anavyoenda kwenye masherehe ya hivi ya kibaguzi watu wananchi da tu. Inabaki tu atokee mtoto amwambie Malkia upo uchi.
 
Pole sanaaa kwa magumu unayoyapitia Tofauti yako na Tundu Lissu mda wa kulala tuu yeye anafungiwa saa 9 mchana
Basi unahisi kila mtu ni size yako, wewe ni chawa tu usiye na lolote, unaishi kwa kutegemea kuwasifia mabwana zako walioko serikalini, karibu kwenye ulimwengu wa biashara na fikra huru. Uchawa una mwisho mbaya, uongozi ukibadirika na wewe unaanza kulialia. Uchawa ni LAANA.
 
Milikuaga mnanitukana taangu enzi za Magufuli mimi yangu yanaenda account inazidi kunona 9 digit😂😂😂😂
 
Wewe si umeleta nyuzi bi chura wako amekwea pipa kwenda uarabuni?
so which is which au bi chura wapo wawili!
Dk. Samia anakula Anakula bata uarabuni ngoja nitoe shule kidogo kuhusu siku ya sheria huwa inasheherekewa mwishoni mwa wiki ya kwanza ikitanguliwa na shughuli za kisheria kwa wiki nzima so kilele chake huwa kati ya tarehe 7-10 leo unaweza ukawa uzinduzi wa kilele cha wiki ya sheria na ratiba ya Rais Samia ilikua haioneshi kama leo atahudhuria Kilele cha wiki ya sheria au mwaka mpya wa kimahakama
 
Unatoa shule au unatoa chuo ni juu yako
bi chura yupo dar au dubai au yupo kwenye multple location?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…