Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Hapo asitarajie kusikia kuungwa mkono suala la bandari maana shoo hamumunyi maneno anakupa live .
 
Akakazie hapa Kwa TEC

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1693233897662714215?t=_SiQ6bmRU0nYzI16MoiGjw&s=19
 
wamempa nafasi ya kwenda kutoa tamko walau la kuachana na mkataba huo. walutheran nao kama hawatamuonya, nitashangaa sana.
 
Merhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?


Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili
Mkuu hili swala tulipaswa tuungane kuishinikiza serikali itangulize maslah ya nchi.tuache ushabiki kwenye mambo ya msingi
 
Askofu Shoo hanaga kazimbovu wala kigugumizi kwenye ukweli... lazima ampe ampetena😀😀😀
 
hao kkt wanasubir sa100 akimalza tu jambo lao, na wao wanaachia waraka wenye mlengo wa tec
 
Merhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?


Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili
Hata kimaadili kanisa Katoliki linajitahidi sana. Bahati nzuri sisi wengine ni wadau katika ukatoliki na KKKT hivyo tunajua mwenye afadhali ni yupi. KKKT sasahivi wamehama kuihubiri injili bali wanautumia injili kukamua waumini hela. Pia ninasema Katoliki wanajitahidi sana na wapo committed katika mambo mengi ndio maana hata shule zao nyingi za sekondari kila mtu anataka kupeleka mtoto wake, tofauti na shule za KKKT mfano ile ya Morogoro Junior Seminary na nyingine ambazo zipo level moja tu na shule za kata.
 
Siku hiyo
Siku hiyo awaambie dpw bandari yetu waachane nayo maana wenye mali wamekatalia.
 
Kuna watu wanatapa tapa kama wamefumaniwa.
Bado kwenda kuwa wageni rasmi kwenye madanguro tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…