eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kwani m
Kwani mimi nimekwambia mayahudi wamemweka yesu kwenye vitabu vyao
Mimi nimekwambia hivyo vitabu mayahudi wameviharibu na sijataja habari za yesu
Issue siyo wewe kusema kwamba vimeharibiwa, suala ni authority ambayo ilithibitisha uharibifu wa nyaraka hizo. Wewe umesema tu, hiyo haiwezi kuchukuliwa kwamba ni sahihi na kweli, kwa sababu hujai qualify kwa uthibitisho wowote.
Pia hoja ya msingi hujasema, uhusiano uliopo kati ya vitabu vya awali na kuruwani/uislam/muhamad