Issue siyo wewe kusema kwamba vimeharibiwa, suala ni authority ambayo ilithibitisha uharibifu wa nyaraka hizo. Wewe umesema tu, hiyo haiwezi kuchukuliwa kwamba ni sahihi na kweli, kwa sababu hujai qualify kwa uthibitisho wowote.
Pia hoja ya msingi hujasema, uhusiano uliopo kati ya vitabu vya awali na kuruwani/uislam/muhamad
Uhusiano uliopo ni kuwa hivyo vitabu vimetajwa ndani ya Quran kama vitabu vilivyoteremshwa na Allah kwa mitume wake
Au wewe unao uhusiano gani kati ya biblia na vitabu hivyo