Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu maza anakauli tamu sn tatizo vitendo vyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameandika kufurahisha wafadhili pekeeMawazo ni mazuri ila tatizo ni lile kokolo(CCM) na watu waliomzunguka wamejaa uhafidhina,ataweza.Hili hii nchi isonge mbele ni lazima adhibiti ufisadi serikalini na asifumbie macho wakwepa kodi,kauli za kusema waliokuwa wanadaiwa Kodi miaka ya nyuma wasilipe bali walipe mwaka mmoja nyuma,zife.Sheria iwekwe mbele ya ukada na kujuana.
✓Uteuzi uzingatie sifa stahiki na siyo ukada ambao umesababisha watu wenye Brain nzuri kuachwa na mfumo wakizagaa mtaani na kukumbatia vilaza kwenye taasisi za serikali.
✓Kingine aache kuteua wazee maana mbwa mzee awezi kujifunza mbinu mpya.Kama anawahitaji aunde Baraza la Rais la ushauri.
✓Akemee kauli za kibaguzi za kina Nape ambao wanaona CCM na nchi hii mali yao.Kauli za kusema wenye chama tumerudi,mara wana-CCM wengine kuitwa viroboto kwasababu ya kutofautiana mtazamo,hizi kauli za kibaguzi zife.
✓Ahakikishe wanasiasa wote waliofungwa kwa kesi za kisiasa wanaachiwa huru bila masharti.
✓Ahakikishe maoni ya Wananchi yaliyotolewa kwenye Rasmu ya katiba ya Warioba ndiyo yanaheshimiwa na mchakato uanzie kwenye Rasimu ya Warioba na siyo kwenye Rasimu iliyotokana na mgawanyiko wa wanasiasa katika Bunge la Katiba.
✓Bunge la Katiba liundwe upya na lisiwe na sura ya kisiasa kama la awali ambapo liligeuzwa Bunge la Muungano na kuongeza uwakilishi mwingine kwa uchache.Inatakiwa makundi yote ya kiraia yapate uwakilishi na si Kama awali.
✓Watu wote ambao wanahusishwa na tuhuma za ufisadi au wameshawahi kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi,iwe ni marufuku kujihusisha na utumishi wa umma ama kugombea nafasi za uongozi wa nchi.
✓Jeshi la Polisi nalo lifumuliwe na kusukwa upya maana taswira yake si nzuri machoni pa watanzania waliowengi,na Askari wote ambao uadilifu wao unatiliwa mashaka na jamii waondolewe kwenye jeshi.
Tukifanya haya machache na mengine wataongezea wengine,4R itakuwa na maana pana sana.
Muungano uvunjwe harakaHapo kwenye mabadiliko ni vema Zanzibar ikaachwa iwe huru na ijitegemee
USSR
Haya ni maneno yasiyo na uhalisia ila usisiemu, ubinafsi na ulafi, ebu weka hatua zilizopigwa na zenye matokeo chanya kwa raia zaidi ya milioni 40 wa Tanganyika, achilia mbali wale raia walamba asali na ninyi mlio kwenye mifereji kwa sasa.... Mh. Samia is certainly intelligent than her predecessor. Maguvu yasiyo na sababu; matusi, dharau, majivuno, kejeli, kujiona, kujisikia, kujisifu, kiburi, etc. hana ila mambo yanaenda vizuri ukiacha changamoto za gharama za maisha ambazo nyingi contributor mkubwa alikuwa predecessor.
Maridhiano kati ya chama Tawala CCM na vyama vya upinzani.4R
Maridhiano; ya nani na nani, kwenye issues gani?
Uvumilivu; nani avumilie, avumilie nini?
Mabadiliko; yapi, wapi, kwaajili ya nini?
Kujenga upya; kipi, kwa muda gani, muendelezo wake utakuaje asipokuwepo?
Bei za vitu zikoje mtaani huko, mwaka wa fedha mpya umeanza? Huku kwetu Sembe imeongezeka bei kwa sh 2,000 kwenye 10kg.
Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Jana tarehe 01.07.2022 aliandika makala Kwenye gazeti la mwananchi yenye kichwa Cha habari miaka 30 tangu turejee katika mfumo wa vyama vingi.
Katika makala hiyo mhe Rais ameandika mambo mengi yenye masrahi mapana na ustawi wa nchi yetu kwa ujumla.Binafisi ninafurahishwa sana na dhamira njema ya Rais wetu mpendwa hasa alipotaja 4R.Lakini hofu yangu kwa dhamira njema ya Rais wetu mpendwa ni maadui wa hizi 4R ndani ya chama Chama chake Cha CCM.
Ndani ya chama chake mheshimiwa Rais Kuna wahafidhina wasiotaka , Reconciliation (Maridhiano), Resiliency (uvumilivu),Reforms (Mabadiliko) na Wala Rebuilding(kujenga upya).
Hawa wahafidhina wataweza kumkwamisha mhe Rais kuweka legacy ambayo itaandikwa kwa wino wa dhahabu katika nchi yetu na hautafutika kamwe vizazi na vizazi.Baada ya kusema haya mwenyezi Mungu akutie nguvu mhe Rais ili uweze kuvuka salama vizingiti vilivyo mbele yako.Kazi iendelee.
Ya walio kiona Cha mtemakuni wakati wa mtangulizi,wanasiasa, wafanyakazi,wafanyabiashara,vyama vya kiraia,chinga's n.k🏃4R
Maridhiano; ya nani na nani, kwenye issues gani?
Uvumilivu; nani avumilie, avumilie nini?
Mabadiliko; yapi, wapi, kwaajili ya nini?
Kujenga upya; kipi, kwa muda gani, muendelezo wake utakuaje asipokuwepo?
Bei za vitu zikoje mtaani huko, mwaka wa fedha mpya umeanza? Huku kwetu Sembe imeongezeka bei kwa sh 2,000 kwenye 10kg.
... iliwahi kuombwa thesis (public document) ya bwana yule; matokeo yake yanajulikana na yataendelea kujulikana vizazi na vizazi.Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.
Umenena vyema jinsi jiwe alivyokua, sijawahi kuona sababu za msingi za yeye kujiona namna ile.... Mh. Samia is certainly intelligent than her predecessor. Maguvu yasiyo na sababu; matusi, dharau, majivuno, kejeli, kujiona, kujisikia, kujisifu, kiburi, etc. hana ila mambo yanaenda vizuri ukiacha changamoto za gharama za maisha ambazo nyingi contributor mkubwa alikuwa predecessor.
Mimi Kwenye gazeti nimesoma by Samia Suluhu Hassan.Hata ikiwa kaandikiwa lkn ameridhia yeye mwenyewe hiyo ni nia na dhamira njema yake.Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.
Kweli kabisaaYa walio kiona Cha mtemakuni wakati wa mtangulizi,wanasiasa, wafanyakazi,wafanyabiashara,vyama vya kiraia,chinga's n.k🏃
Tatizo wengi hatujui utawala tunajua uongozi! Ni watu kama Nyerere au Mkapa walikuwa wanashika kalamu wanaandika mawazo yao. Kiongozi haruhusu kitu kipite mikononi mwake bila hata kukipitia ila watawala wanaweka saini tu. Hii makala ni ya Prof Mkandala na ZittoMimi Kwenye gazeti nimesoma by Samia Suluhu Hassan.Hata ikiwa kaandikiwa lkn ameridhia yeye mwenyewe hiyo ni nia na dhamira njema yake.
Itafika muda hata waume zenu wasiposimamisha wawapande mtamsingizia bwana yule.... iliwahi kuombwa thesis (public document) ya bwana yule; matokeo yake yanajulikana na yataendelea kujulikana vizazi na vizazi.
Unauhakika ni hili??Tatizo wengi hatujui utawala tunajua uongozi! Ni watu kama Nyerere au Mkapa walikuwa wanashika kalamu wanaandika mawazo yao. Kiongozi haruhusu kitu kipite mikononi mwake bila hata kukipitia ila watawala wanaweka saini tu. Hii makala ni ya Prof Mkandala na Zitto
... kwa hiyo unawashauri wakuige wewe ambaye humsingizii bwana yule pale mumeo anaposhindwa kukuingilia? Inaonekana unapenda sana kuingiliwa wewe dada!Itafika muda hata waume zenu wasiposimamisha wawapande mtamsingizia bwana yule.
Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.
AminaRais anaposema uvumilivu ni pamoja na kuwavumilia watu kama Wewe