Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

Ameandika kufurahisha wafadhili pekee
 
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Jana tarehe 01.07.2022 aliandika makala Kwenye gazeti la mwananchi yenye kichwa Cha habari miaka 30 tangu turejee katika mfumo wa vyama vingi.

Katika makala hiyo mhe Rais ameandika mambo mengi yenye masrahi mapana na ustawi wa nchi yetu kwa ujumla.Binafisi ninafurahishwa sana na dhamira njema ya Rais wetu mpendwa hasa alipotaja 4R.Lakini hofu yangu kwa dhamira njema ya Rais wetu mpendwa ni maadui wa hizi 4R ndani ya chama Chama chake Cha CCM.

Ndani ya chama chake mheshimiwa Rais Kuna wahafidhina wasiotaka , Reconciliation (Maridhiano), Resiliency (uvumilivu),Reforms (Mabadiliko) na Wala Rebuilding(kujenga upya).

Hawa wahafidhina wataweza kumkwamisha mhe Rais kuweka legacy ambayo itaandikwa kwa wino wa dhahabu katika nchi yetu na hautafutika kamwe vizazi na vizazi.Baada ya kusema haya mwenyezi Mungu akutie nguvu mhe Rais ili uweze kuvuka salama vizingiti vilivyo mbele yako.Kazi iendelee.
 
... Mh. Samia is certainly intelligent than her predecessor. Maguvu yasiyo na sababu; matusi, dharau, majivuno, kejeli, kujiona, kujisikia, kujisifu, kiburi, etc. hana ila mambo yanaenda vizuri ukiacha changamoto za gharama za maisha ambazo nyingi contributor mkubwa alikuwa predecessor.
 
4R
Maridhiano; ya nani na nani, kwenye issues gani?

Uvumilivu; nani avumilie, avumilie nini?

Mabadiliko; yapi, wapi, kwaajili ya nini?

Kujenga upya; kipi, kwa muda gani, muendelezo wake utakuaje asipokuwepo?

Bei za vitu zikoje mtaani huko, mwaka wa fedha mpya umeanza? Huku kwetu Sembe imeongezeka bei kwa sh 2,000 kwenye 10kg.
 
Haya ni maneno yasiyo na uhalisia ila usisiemu, ubinafsi na ulafi, ebu weka hatua zilizopigwa na zenye matokeo chanya kwa raia zaidi ya milioni 40 wa Tanganyika, achilia mbali wale raia walamba asali na ninyi mlio kwenye mifereji kwa sasa.
 
Maridhiano kati ya chama Tawala CCM na vyama vya upinzani.
Uvumilivu kati ya chama Tawala CCM na vyama vya vingine vya siasa.
Mabadiliko ya Katiba tuachane na ile ya 1977
Kujenga nchi yetu
 
Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.
 
Ya walio kiona Cha mtemakuni wakati wa mtangulizi,wanasiasa, wafanyakazi,wafanyabiashara,vyama vya kiraia,chinga's n.k🏃
 
Umenena vyema jinsi jiwe alivyokua, sijawahi kuona sababu za msingi za yeye kujiona namna ile.
Ila pia hii kusema sasa mambo yanaenda vizuri, ni UONGO MKUBWA. Yes kuna mambo sasa hayapo Ila kwa bahati mbaya hayana impact kwa wananchi walio wengi zaidi umaskini unazidi kuongezeka siku hadi siku bahati mbaya kwao ni kuwa sauti yao haisikiki mbali.
Hakuna la maana Sana atalofanya mama Samia zaidi ya kutoa maneno matamu tu.
 
Hivi unadhani Samia anaweza kuandika yale, ameandikiwa na kusaini tu. Hata hajui ndani kuna nini.
Mimi Kwenye gazeti nimesoma by Samia Suluhu Hassan.Hata ikiwa kaandikiwa lkn ameridhia yeye mwenyewe hiyo ni nia na dhamira njema yake.
 
Mimi Kwenye gazeti nimesoma by Samia Suluhu Hassan.Hata ikiwa kaandikiwa lkn ameridhia yeye mwenyewe hiyo ni nia na dhamira njema yake.
Tatizo wengi hatujui utawala tunajua uongozi! Ni watu kama Nyerere au Mkapa walikuwa wanashika kalamu wanaandika mawazo yao. Kiongozi haruhusu kitu kipite mikononi mwake bila hata kukipitia ila watawala wanaweka saini tu. Hii makala ni ya Prof Mkandala na Zitto
 
... iliwahi kuombwa thesis (public document) ya bwana yule; matokeo yake yanajulikana na yataendelea kujulikana vizazi na vizazi.
Itafika muda hata waume zenu wasiposimamisha wawapande mtamsingizia bwana yule.
 
Unauhakika ni hili??
 
Itafika muda hata waume zenu wasiposimamisha wawapande mtamsingizia bwana yule.
... kwa hiyo unawashauri wakuige wewe ambaye humsingizii bwana yule pale mumeo anaposhindwa kukuingilia? Inaonekana unapenda sana kuingiliwa wewe dada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…