Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele


We should be smart enough not to fall for this political chicanery!
 
Mimi Kwenye gazeti nimesoma by Samia Suluhu Hassan.Hata ikiwa kaandikiwa lkn ameridhia yeye mwenyewe hiyo ni nia na dhamira njema yake.
Kiujumla rais Samia ana nia njema na kwa kuwa nchi haijengwi na mtu mmoja basi na tumsaidie kutimiza hiyo nia njema. Ni wajibu wetu sote kuijenga nchi yetu.
 
You are talking shit(mavi ya ng'ombe) wewe ni shithole(tundu la kinyesi) mnakera bana kufanya uchawa wakati uyu mama anazidi kuharibu maisha ya watanzania
 
You are talking shit(mavi ya ng'ombe) wewe ni shithole(tundu la kinyesi) mnakera bana kufanya uchawa wakati uyu mama anazidi kuharibu maisha ya watanzania
Mimi sijaona wapi Mama kaharibu maisha ya watanzanja
 
Hivi mtoa mada unaamini kabisa aliyoyaandika uyu Mama kweli yatatekelezwa chini ya CCM hii tunayoifahamu?CCM hii hii si ndiyo ilivuruga mchakato wa katiba mpya kwa kugeuza Bunge la Katiba kuwa kama caucus ya chama na Samia akiwa Makamu Mwenyekiti?Mwambieni Maridhiano ya kweli ni kuhakikisha gharama za maisha zinakuwa chini, masikini Hana muda na hayo makolokolo ya 4R.
 
You are talking shit(mavi ya ng'ombe) wewe ni shithole(tundu la kinyesi) mnakera bana kufanya uchawa wakati uyu mama anazidi kuharibu maisha ya watanzania
Haya ni maoni yako, nazani wewe unaweza kuanzisha Uzi wa kulaumu kama unaona hivyo lkn kwangu Mimi mhe Rais anafanya makubwa
 
Mungu akubariki.umeongea vizuri
 
Usile Sembe, sio chakula kizuri kwa afya.
 
Bimkubwa aka Bibi Tozo bin Vasco da Gama ajue wasomi wamejaa tz asitutoe kwenye mada. Atujengee SGR iishe haraka na Nyerere Dam viishe tujikwamue , hatuhitaji sijui 4R zake hazina faida kwa public zina faida kwake kupunguza kelele za wapinzani, 4R zake hazituletei ugali kitaa!

But nampongeza sana Chief Hangaya kwa Royo Tua idea na kufufua mchakato wa katiba, for these two agenda she was extra smart, royal and modern.big up sana Madame.
 
Akiyatekekeza hayo ataweka kumbukumbu nzuri
 
Miaka yote nilikuwa upinzani Ila mama amejua kuni change mind! Kwa Sasa mi Ni team mama not ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…