Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unakumbuka aliunda tume au sijui kamati ya Corona? Hivyo tume ndo ilishauri mambo kama hayo ya watu kujazana sehemu? She is not serious about it.Kajazana na watu kwenye mpira wa Simba na Yanga, watu wamejazana Sabasaba.
Does she even know what she is talking about?
#COVID19 - Mapambano dhidi ya COVID-19: Rais Samia anayo dhamira ya kweli? Kinachoendelea India kinatisha
Hivi ni kweli kabisa Rais Samia ana nia ya kweli ya kupambana na COVID-19? Sijui kama na nyie mnafuatilia yanayoendelea huko India sasa hivi! Akina Narendra Modi walikuwa huko West Bengal wanapiga kampeni za kisiasa utadhani hamna kesho. Ona sasa kilivyoumana. Sasa kweli hiyo kamati...