#COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

#COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

Kaka hujaelewa bado? Virusi vinaua kwanza wazee, pili watu wengine wenye udhaifu kutokana na magonjwa au menginevyo.
Kote Afrika hadi sasa vifo vimekuwa vichache kwa sababu
1) wazee ni wachache, vijana ni wengi
2) watu wengi bado wako vijijini, hivyo hawasafiri sana, hawakutani na watu wengi sana, virusi huwa na nafasi ndogi kusambaa
3. watu wengi, hata Dar es Salaam, wanaishi hewani wazi, yaani hawana makazi ambako madirisha ya kioo yamefungwa (kule Ulaya hata masoko mara nyingi yamo ndani ya ukumbi)

Haidhuru kama ni Mzungu au Mwafrika. Umri, kiasi cha kuwa karibu na watu wengi na muda wa kukaa ndani ya vyumba vilivyofungwa ni sababu ya kuwa na maabukizi mengi au machache.
Kwa hiyo kwa chi kama Tanzania ni rahisi zaidi kuepukana na wimbi kubwa kama Ulaya. Ila tu wale wanaojitahidi wataambukizwa, wakiwa vijana labda bila dalili, lakini hata hao vijana wanaweza kuambukiza wengine, na hapo unaona hasa wazee na wenye magonjwa mbalimbali wanaathirika vibaya hadi kufa.
Na asilimia ndogo ya vijana wanaathirika pia;
ila tu, ukijua hisabati: Asilimia ndogo ya watu wengi = idadi kubwa kiasi.
Umetisha Sana kwa elimu hii. Kumbe madhara ya pungua kwasabb za aina za majenzi na uchache wa wazee! Merci beucoup!
 
Ki ukweli hapa Sengerema kuna vifo kila mahali, tunashindwa tumzike nani, tuache nani. Naona watu hawana habari za barakoa, wanaamini Yale maneno ya mwendazake.
 
We unaweza kuzuia mauti? hizi kufuru mnazitoa mkiwa mlewa?

Acheni imani potofu.
 
Kuna kufa na kuna kufa kizembe.

Acha upumbavu.
 
Hatimaye hospitali ya rufaa ya kanda ya Bugando ya jijini Mwanza imepata msaada wa mitungi 300 ya gesi kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wenye matatizo ya upumuaji wakiwemo wa corona.
1625870219308.png


1625870277041.png
 
Kwa habari za vifo ninazosikia mpaka naogopa nahisi kuwa Sasa wanaohusika na corona wameamua ku target Africa ili watupunguze maana sote tunajua corona Ni ugonjwa was kutengenezwa na hiki kikundi Cha watu wanaangalia mambo yanavyoenda wakaamua waanzishe kwanza huko ulaya ili baadae Sasa wakisambaze huku kwetu siwatishi ndugu zangu lakini tujiandaeni kwa kutubu na kuacha dhambi maana hakuna namna kuhusu kuchukua tahadhari zote chukueni.
 
Kwa habari za vifo ninazosikia mpaka naogopa nahisi kuwa Sasa wanaohusika na corona wameamua ku target Africa ili watupunguze maana sote tunajua corona Ni ugonjwa was kutengenezwa na hiki kikundi Cha watu wanaangalia mambo yanavyoenda wakaamua waanzishe kwanza huko ulaya ili baadae Sasa wakisambaze huku kwetu siwatishi ndugu zangu lakini tujiandaeni kwa kutubu na kuacha dhambi maana hakuna namna kuhusu kuchukua tahadhari zote chukueni.
Kaka jaribu kutumia mantiki angalau kidogo!!!!
1. Hapana, hatujui sote kwamba Corona ni ugonjwa wa kutengenezwa. Kuna hoja hili ambalo halikuthibitishwa, Kama ilikuwa hivyo, basi ilikuwa ajali huko China (ambako waliona vifo vya kwanza na hasara kubwa ya kiuchumi)

2. Hapana, "hao" (nani?????) hawakuamua kutarget Africa. Idadi ya vifo Afrika itaendelea kuwa duni ukilinganisha na mabara mengine. Kwa sababu virusi inaua wazee na wadhaifu (na idadi ya vijana wajinga wanaokataa kuchukua tahadhari). Hata kama inandelea, virusi hivi havitaua watu wengi sana sana kwa sababu hakuna wazee wengi kufuatana na muundo wa umri wa Waafrika wakati huu. (Vifo vya Ulaya na Marekani ni asilima 80 watu juu ya umri wa miaka 65, hasa juu ya 80 ambao wako wengi huko kwa sababu wana mfumo bora wa tiba ambako watu wengi wanfiki umri mkubwa=

3. Ndiyo, unaweza kuchukua tahadhari. Ukiathiriwa uwezekano mkubwa si shauri ya dhambi bali shauri ya ujinga na uzembe ama wako au wa wengine..
 
Back
Top Bottom