mnafiki sana wewe mbowe sijui unamdanganya nani ? sasa watu wajihadhari na corona wakati unaendesha mamikutano yakoyasiyo na umuhimu wowote eti umekatisha ziara visiwani wewe ndiyo unaeneza corona kwa watu inabidi wakuepuke kama ukoma mbuzi wa kafara weeee
Nahisi anatengeneza mazingila ya kupiga pesa za IMFSerikali haio serious
Unasema kuwa gonjwa linapukutisha huku ukiwa umebariki mbio za mwenge kuendelea!
Watu wanajazana kwenye viwanja vya mipira etc
Kwani anayetakiwa kuahirisha mbio za mwenge ni nani? Anayeweza kuongoza hatua zaidi kupambana na ugonjwa ni nani ? Hizo kelele za kovidi sio kwa ajili ya wananchi, ni kwa ajili ya wenye hela watupe mikopo.
Anaongelea wimbi la tatu lakini la pili liliwahi kutangazaa lini rasmi na serikali ? Inawezekana tupo hata wimbi la nne, na litapita kama yalivyopita mengine, bila hatua zozote madhubuti za kukabiliana nalo, watakaobaki poa, watakaoenda poa.
Nahisi anatengeneza mazingila ya kupiga pesa za IMF
hata Kilimanjaro hali sio nzuri hata kdg.his third wave is already in the country and there is nothing to hide. We have patients in Kagera, Arusha, Mwanza, Dar es Salaam and even Dodoma,” she said.
Hapa na Mimi anajichanganya sana, anasema tuchukue tahadhari tuepuke mikusanyiko alafu anatuita tena tukusanyikeSasa kwa nini Rais Samia anakusanya watu kwenye hizo ziara zake na kuwahutubia?
Ndo maana nasema hayuko serious kabisa.
Anafuata mkumbo tu!
Hii ni jana/ juzi alipokuwa Morogoro.
Huyu mama anajichanganya sana, ni Bora hili suala la corona angeachana naloKajazana na watu kwenye mpira wa Simba na Yanga, watu wamejazana Sabasaba.
Does she even know what she is talking about?
You said it all.[emoji40]Very few people adhere to this call. And many of those who wear do it wrongly.
Another awful thing is that some goups of youths mock passersby wearing masks
Kenya na Uganda wanakufa kwa njaa. Wameyumbishwa kiuchumi kiasi kwamba hawapati menu vizuri kwahiyo kinga za wananchi walio wengi zimeshuka.K
Jamani, Kenya na Uganda wanaokufa ni wazungu???, naomba tusikejeli haya mambo, na cha msingi tu kila mtu achukue tahadhari....
Kwanini tangu achukue madaraka na kuamua kuchukua tahadhari ya UVIKO kwa kiwango kikubwa ndio maambukizi yameongezeka ziaidi?Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19.
Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania.
Aidha, Rais Samia amesema "Wimbi la tatu la Covid-19 tayari lipo nchini na hatua cha kuficha, tuna wagonjwa mkoa wa Kagera, Arusha, Mwanza, Dar es Salaam na Dodoma.
“Chukueni tahadhari hili wimbi la tatu ambalo linapukutisha wenzetu lisije kupukutisha hapa kwetu, gonjwa hili likianza kutuangusha halina kusimama linapukutisha tu”
===
Zaidi soma
Tanzania’s major cities are worst hit by a third wave of the Covid-19 pandemic, President Samia Suluhu said, while urging citizens to take precautions to protect themselves.
Speaking at Kibaigwa, Morogoro in central Tanzania, on her way from the capital Dodoma on Wednesday, President Suluhu expressed her shock when she saw hundreds of people without masks.
“This third wave is already in the country and there is nothing to hide. We have patients in Kagera, Arusha, Mwanza, Dar es Salaam and even Dodoma,” she said.
“I have seen here that just a few people are wearing masks and doing so incorrectly with only their mouths covered leaving open their noses. Therefore, I call upon everybody to take precautionary measures against Covid-19 as directed by health experts,” she said.
The President said in Dodoma, while the number of patients is small, the cases should sound a warning to citizens to be more alert in order to prevent deaths as reported in other countries.
Ms Sululu urged wearing masks whenever in public gatherings.
Source: The Citizen
Kaka hujaelewa bado? Virusi vinaua kwanza wazee, pili watu wengine wenye udhaifu kutokana na magonjwa au menginevyo.Kama unaishi nje ya Tanzania unaugua. Lkn kama upo ndani ya ardhi ya mwalimu Nyerere nakuhakikishia hakuna korona.
BTW, ugonjwa huu hauwaui Sana watu weusi, ndiyo maana Afrika siyo issue sana.
Hata SA wanaokufa ni wazungu siyo wazulu wa Kwazulu Natal
Hivi mnaona mataifa mengine wanavyokufa jamani?
Kuna kufa na kuna kufa kizembe.Pumbavu zake huyo shigongo aseme ni lini watu waliacha kufa.,
Wapi wamejifungia? wapi sema hapahapaIla hali ni tete sana aisee
Watu wamejifungia kabisa
Na hili linatokea Uganda