Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

.
Imagine tangu tupate uhuru pesa ngapi imeenda kwenye sherehe za uhuru?
.
Imagine ni mambo mangapi ya maendeleo yangefanyika kwa fedha hizo?
 
View attachment 2436580

NB: Ya Magufuli ni yake Samia.
====

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane za msingi zenye wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 5, 2022 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amezitaja shule hizo kuwa ni Buhangija (Shinyanga), Goeko (Tabora), Darajani (Singida), Mtanga (Lindi), Songambele (Manyara), Msanzi (Rukwa), Idofi (Njombe), na Longido (Arusha).

Amesema shule hizo zimekwisha ratibiwa na TAMISEMI na tayari zimekwisha gawiwa fedha hizo kwa ajili ya kuwajengea mazingira rafiki wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

“Ikiwa ni dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwajali na kuwajengea mazingira rafiki watu wenye mahitaji maalum hapa nchini, hili ni jambo kubwa na la kishujaa na la kupongezwa sana,” amesema.

Aidha, ametoa wito kwa wananchi kushiriki kwa wingi katika midahalo na makongamano katika wilaya zote na kujadili kwa kina kuhusu maendeleo endelevu katika siku ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania.

View attachment 2436676

Amefanya vizuri sana. Tupungeze pia safari, sherehe, makongamano, semina ambazo sio muhimu.

Tulete maji Safi na salama kwa kila Mtanzania.
 
Hii siku ni muhimu sana kwa Taifa letu. Wangeachana na vitu kama mwenge na vingine ningeelewa!
 
View attachment 2436580

NB: Ya Magufuli ni yake Samia.
====

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane za msingi zenye wanafunzi wenye mahitaji maalum.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 5, 2022 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amezitaja shule hizo kuwa ni Buhangija (Shinyanga), Goeko (Tabora), Darajani (Singida), Mtanga (Lindi), Songambele (Manyara), Msanzi (Rukwa), Idofi (Njombe), na Longido (Arusha).

Amesema shule hizo zimekwisha ratibiwa na TAMISEMI na tayari zimekwisha gawiwa fedha hizo kwa ajili ya kuwajengea mazingira rafiki wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

“Ikiwa ni dhamira ya dhati ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwajali na kuwajengea mazingira rafiki watu wenye mahitaji maalum hapa nchini, hili ni jambo kubwa na la kishujaa na la kupongezwa sana,” amesema.

Aidha, ametoa wito kwa wananchi kushiriki kwa wingi katika midahalo na makongamano katika wilaya zote na kujadili kwa kina kuhusu maendeleo endelevu katika siku ya maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania.

View attachment 2436676
Rais Samia Suluhu amefanya maamuzi sahihi katika hili kujenga mabweni kwaajili ya wanafunzi wenye uhitaji hii sio tu kwamba ni sherehe bali hii ni sadaka haijawai tokea toka Tanzania ipate uhuru
 
Big up Mh. Rais haya maamuzi yanachochea maendeleo kwa kiasi kikubwa, hayamalizi matatizo yote ila yanapunguza. Hongera sana mama.
 
Pesa za sherehe ya Uhuru ni pesa ndogo sana ukilinganisha na zile zinao pigwa Billions of shillings zinapigwa Daily na wala kwa urefu wa kamba, na huko hutamsikia huyu mama anaongelea wala kukemea labda wanao piga ni wanajuana. Sasa anaona njia pekeee ya kutengeneza attention ni kusema hakuna sherehe za uhuru. na tulivyo wajinga tusha ingia king kuona mama kweli mzalendo kumbe hakuna kitu.

Sasa kuja na swagwa za kuzuia pesa za uhuru eti zikajenge sijui mabweni ni usaniii mtupu na wakutafuta sifa mbele ya wajinga walio jaaa nchi hii na walamba asali.

Kama swala ni kupunguza matumizi basi isi ishie kwenye sherehe za uhuru bali iwe ni kote huko hasa kwenye Magari yao yale, Mama mwenyewe msafara wake unaweza kuwa ni zaidi ya pesa za sherehe za uhuru, lakini huko hazungumziii.

Watawala walisha soma raia wakajua ni wapenda mambo ya zima moto that is whay wanakuwa wanachomekea vitu vidogo vidogo kutengeneza attention.
 
Zinapigwa wapi mbona mnakazana kupigwa kwa pesa wakati hamtowi wapi ufafanuzi, mtaangaika mpaka mtakapo choka, hizi propaganda hazitasaidia
 
Unasomaga Report za CAG? au unasoma magazeti ya uhuru muda wote? Tafuta report za mkaguzi usome uone upigaji
 
Zinapigwa wapi mbona mnakazana kupigwa kwa pesa wakati hamtowi wapi ufafanuzi, mtaangaika mpaka mtakapo choka, hizi propaganda hazitasaidia
So report za CAG huwa ni propaganda? Mnakuwa wajinga kiwango hiki?
 
Asimamishe semina zote za wafanyakazi wa serikali zinazotafuta hela baadala yake wafanye online, ile michezo ya mashirika shimuta ni kupoteza hela tu apige marufuku.

Apige marufuku ziara zote za mawaziri mpaka atoe yeye ruhusa, safari zisizo na kichwa wala miguu azipige marufuku, apunguze msafara wake na safari za nje zisizo na issue baadala yake atume mabalozi tu. Apige marufuku matumizi ya migari inayobwia mafuta kama V8 na kuweka usimamizi mkali kwenye matumizi yake.

Atambue tu, wizi, uzembe, ubabaishaji na ujinga mwingi kwenye taasisi za umma umerudi kwa kasi na watu wanahomola tu, APIGE JICHO HUKO KUNA HELA NYINGI ZINAPOTEA.

Afanye reform ya uhakika TISS na JESHI LA POLISI kwa maslahi mapana ya nchi na kuajili watu wa kada mbalimbali based na mahitaji na sio KAMLETE na MAKADA.
TISS kuwe na kitengo maalum chenye engineers wabobezi wa kila idara waliofanya sana kazi nje na ndani ya nchi kwenye private sector hasa hizi international business na hawa watamsaidia kwa uangalizi kwenye mamiradi haya, maujenzi, mamikataba na kunusu issue ambazo ni very technically ambazo Taifa linapigwa kila uchwao..

HII NCHI SIO MASIKINI BALI INA SHIDA YA WATU COMPETENT, WAAMINIFU, COMMITED NK, MATUMIZI YA HOVYO YA HELA ZA UMMA NA WIZI....HIVI VILIFANYWA IN A YEAR UTAONA TAIFA LINAVYOKIMBIA KWENYE MAMBO MBALIMBALI..
Samia hawezi fanya hayo labda nchi ifirisike kabisa.Wao walivyomwona Magufuli anafanya hayo aliitwa mshamba na limbukeni,Samia na kundi lake niwatu wa bata Sio kujenga nchi.
 
Back
Top Bottom