Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Mh Rais Samia
Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako.
Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa na lawama zinazotupiwa jeshi Lao wanaona hawatendewi haki na wanakuwa victimized unnecessary kwasababu ya watu wachache.
Halafu mh rais tuko kwenye dunia inayojali sana professionalism kwanini unaajiri polisi waliofeli kidato cha nne? Ilhali Kuna wasomi kibao mtaani wenye degree na wanafani? Hivi huyu form four failure mpaka astahafu atakuwa ameleta damage kiasi gani kwa jamii iliyostaarabika? Mh rais hawa ndio watavunja watu miguu makusudi watawawekea bangi watu makusudi ili wawabambikie makesi na mambo mengine CHUNGU nzima.
Ni wito wangu kwa wanaomshauri Rais wakati ni Sasa kuilinda hadhi ya serikali na heshima ya rais mnalipwa kwa kazi hiyo. Kesi kama ya mbowe inamtibulia tu rais maji kisimani yawe machafu yasifae kunywa lakini yote hii shida ni polisi kwani hata kama wanatumwa na wanasiasa kufanya wanayoyafanya dhidi ya raia wema hata wao polisi sio smart enough kupanga maishu yasiyoacha alama.
Naishia hapa nimemshauri rais wangu kwa upendo nanawa mikono yangu Kama sitasikikizwa.