Wewe shida yako ni Siro TU na wala si jeshi la polisi. Kama una mtu wenu mpigie debe awekwe tu na sio unwamgushie jumba bovu Siro.
Jeshi la polisi miaka na miaka liko hivo na unajua kabisa lina mfumo mbovu na linaendeshwa na siasa hata ukimuweka Arnold Shwazteineger aka Komando John wa Jeni na Rambo hakutakuwa na mabadiliko. Ni mfumo mzima wa Jeshi la polisi na siasa zake.
Unamkumbuka Ernest Mangu sijui mlimtoa Interpol? Alikuja akafanya yake na watu wake mkamtoa akakaa pembeni.
Sasa embu suggest unataka Rais amuweke nani pale panyoke Tanpol?
Sent from my SM-G9350 using
JamiiForums mobile app