Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

Tushindwe kulipa madeni waje Polisi wa Kichina
 
Kwa hiyo wenye div one ndio wawe polisi? Mwanasaikolojia na falsafa wa kigiriki/uyunani ya kale aitwaye PLATO aliishang'amua kazi za kufanya kulingana na IQ za watu. Wanaokuwa polisi ndio daraja lao kulingana na uchunguzi wa PLATO.
 
Kwamba uliwalipa kwa kufanya majukumu Yao?
Wasionacho watapate huduma toka kwa polisi?
 
Kwa hiyo wenye div one ndio wawe polisi? Mwanasaikolojia na falsafa wa kigiriki/uyunani ya kale aitwaye PLATO aliishang'amua kazi za kufanya kulingana na IQ za watu. Wanaokuwa polisi ndio daraja lao kulingana na uchunguzi wa PLATO.
Ndio kusema iron silver and golden
 
Una uhakika hao wabambikia watu kesi ni form four failures?

Muache unazi muda mwingine jamani...

Mbona inajulikana kabisa kuwa wenye vyeo vikubwa majeshini (polisi jkt jwtz nk) siyo form four


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba uliwalipa kwa kufanya majukumu Yao?
Wasionacho watapate huduma toka kwa polisi?
Usipoelewa utendaji wa polisi nchi hii utaishia deski la malalamiko.
Na kumbuka kuwa huwalipi, unachangia nyenzo za mali yako kupatikana.
Mfano: aliyekuibia yuko Kahama na tunajua askari mpaka apewe fungu toka kasma ya serikali, mhalifu wako atakuwa kisha yoyoma kusikojulikana.
Lakini unampa mpelelezi nauli, kesho yake anakamatwa.
 
Mkuu hiyo namba moja nakupinga..maslahi yakiboreshwa hata mwenye Masters atakubali kua Polisi.
 
Kwani huko Kahama hawapo polisi wa kumkamata huyo mhalifu? Na,je akikimbilia Canada bado utatoa nauli afuatwe huko? Sema tu unasilika ya kupenda kutoa rushwa.
 
Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Luka 3:14
 
 
Polisi wa nchi hii wamekengeuka mno kwa kuwa wanajiona kuwa ni sehemu ya CCM (poliCCM), hivyo kwa akili yao wanajiona kama sehemu ya muhimili wa serikali.
 
Uzi huu niliuandika kitambo kidogo tokea hapo polisi wamekuwa wabaya said maradufu na siro bado yupo mnamlea.
 
Mkuu umeongea jambo la kweli 100%. Tangu CCM walipoingiza jeshi la polisi kwenye siasa ndipo mambo yalipoanza kuharibika kwa kuwa polisi wanajiona kuwa sehemu ya muhimili wa utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…