Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
mam ni rizimoko ama nakosea. Kuna kuwa bintMwinyi & mam izimoko MTT wa 0ut wa kayaja. Hii Ina ukweli wadau Kama ndo ivyo Kuna familia fulani wanakula Mema ya Nchi wanaishi Kama wako peponi. Nahitaji Benz la chinichini na huku sio kuwa Ana shida nayo.Lakin ukweli utabaki kuwa ukwel tu yeye ni Mzanzibar hlo tunajua na halpngik na litabk kuwa hvyo. japo kama Rais hakutakiwa kusema hvyo[emoji120]
Ampe mwanaye nyonyo anyonye nchi vizuri.Kwakweli Mama Ridhiwani anazingua sana
Safi, bandiko lako limeshiba.Kusema yeye ni Mzanzibari tayari ni ukabila au ukanda ni bora angesema mimi ni Mtanzania Visiwani/Zanzibari.
Kila Mtanzania ana kabila la asili ambalo linasaidia kufahamu na kutambulisha mila na desturi pamoja kwa yakini uraia wa mtu hata huko Zanzibari kuna Wakoja, Wangazija, Wamakunduchi, Wamvita, Watangana, Wakilindini, Wabarawa, Wakiamu, Wapokomo, Wapemba, Wakivanga, Wakiriama, Wakiduruma, Wakijibana nk.
Kuna makabila zamani nchini Tanzania yalikuwa yakwepwa kupewa nafasi za uongozi ngazi za juu kwenye utumishi wa umma na serikali kwa hofu ya uwiano wao kuhitaji wawe wengi ili kuridhika kwamba ni sehemu ya ujenzi wa taifa. Kuna baadhi ya makabila tangu yalisikika yenyewe tu ikidaiwa kwamba wamesome sana ndio maana walipewa nafasi za uongozi wakati sio kweli.
Ukichukuwa kwa mfano Wanyakyusa walioko wilaya za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya, Wasukuma walioko mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu kwa kipindi kirefu hawakuwa washirika wakubwa wa kiuongozi wa juu sio kwamba hakuna aliyesoma au uwezo ila ni hofu ya uwingi wao kumeza nafasi za wengine kitu ambacho pia sio kweli.
Taifa linatakiwa likwepe sana dhana ya kutoa uongozi kwa mtu kwa taswira ya UDINI, UKABILA, UKANDA na ITIKADI za chama cha SIASA kudhibiti mawazo mbadala yenye kuleta tija kwa Taifa la Tanzania (Bara & Visiwani).
Zamani kabla na wakati wa ukoloni kulikuwa na tawala zenye nguvu sana zikijulikana kama
1. Meruland
2. Chaggaland
3. Pwaniland iliyoanzia Somalia, Kenya, Tanganyika, Zanzibar, Comoro hadi Sofala Msumbiji,
4. Sukumaland
5. Songealand
6. Nk
Enzi za Mwalimu Nyerere wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro chini ya waziri wa fedha na baadae akawa waziri mkuu ndio iliyoonekana kuwa na maendeleo makubwa ya miundo mbinu za barabara za lami, maji na umeme huku wila jirani yake ya Same ikiwa baki kuwa hoi katika nyanja zote; leo hii wilaya hiyo rasilimali zote zimechakaa hakuna wakuziendeleza huku wilaya iliyokuwa nyuma kimaendeleo ya Same iking'ara kwa miundo mbinu ya aina zote mpaka wazekezaji wanavutiwa kuwekeza huko (suala ni mipango inatakiwa iwe ni endelevu hata aliyekuwa ameanzisha akiondoka anayekuja anatakiwa kuendeleza kwa faida ya wananchi sio kuendekeza ukomoaji kwa visingizio vyovyote vile.
Maumbile ya kijiografia ya uliokuwa mkoa wa Shinyanga yafanana na jinsi ulivyo mkoa wa Morogoro kwa sasa ambapo unakuta wilaya moja iko mbali karibia kilomita 300. Shinyanga iligawanywa kutokana na ongezeko la watu hivyo mahitaji ya kiutawala kuongeza kuwa karibu zaidi wakati Morogoro kwa wilaya za Mahenge na Malinyi umbali unawatesa sana wananchi kupata huduma stahiki kwa wakati. Laiti kama kungekuwa na uwezekano wa wilaya hizo kuhamishiwa Iringa ambapo ni kati ya kilomita 140-150km wangehama zamani maana ni karibu kwao.
Kuiita Uzanzibari, Uunguja, Upemba au Utanganyika ni ubaguzi ambao mwisho wake wengi wakikasirika wachache wanaweza kuja kupata shida sana huko mbeleni.
Kwa mfano Watanzania Zanzibar wa Pemba ya kasikazini wanamanung'uniko ya kutothaminiwa na kubaguliwa kwamba wana nasaba na waaarabu wa kishirazi; siku wakipata madaraka ya kuongoza nchi taifa litagawika vipande kadhaa hatarishi kwa umoja wa kitaifa.
Kwa sasa kuna chuki inayoenezwa na baadhi ya Watanzania wenye chuki binafsi dhidi ya JPM kwamba alipendelea wasukuma, alikuwa hashauriki, alikuwa dikteta (kila mmoja ni dikteta kwa nafasi ya dhamana aliyokabidhiwa kuisimamia ili atekeleze kile alichoagizwa na wananchi afanye) hoja ambayo haina ushahidi thabiti ukilinganisha na wingi wao nchini. Watu wanathubutu kumtupia lawama zote bila mamlaka ya nchi kukemea kitu kinachotengeza chuki nyingine dhidi ya nyingine ndani ya chumba kile kile. Siku wakiacha kusemeshana wenyewe ndani wananchi watakipata cha mtema kuni.
Kwa muda mrefu utamaduni wa kila mtumishi kuwajibika kutumikia wananchi kwa ufanisi uliachwa kusimamiwa kwa kisingizio cha demokrasia hivyo kupelekea kila mmoja hasa wasio na maadili mema kutumia nafasi hizo kujinufaisha wenyewe huku wakiwadharau raia waliowapa kazi na kuwalipia mishahara yao kupitia tozo, kodi na michango lukuki bila manung'uniko yoyote.
Viongozi wa nchi acheni kuongoza au kutawala kwa kuelemea UDINI, UKABILA, UKANDA, RANGI ya mtu na ITIKADI Kinzani yenye tija.
Viongozi msitumie vitisho mnapokosolewa kwa kuwa ndio kioo chenu kujirekebisha ili kufanya vema zaidi (dhana ya KUKOSOA na KUKOSOLEWA) ifanye kazi kwa vitendo bila kuangalia nafasi ya mtu mkubwa akubali kukosolewa kama yeye anavyokosowa kwa wanaofanya kinyume na matarajio yake kwa niaba ya wananchi.
Wananchi ndio waajiri wa watumishi wa umma na serikali hivyo kujirekebisha kutokana na kukosolewa huongeza imani, heshima na kutahaminiwa nao.
Mbona Mheshimiwa Rais kaongea vizuri ila wewe ndiye unalazimisha NONGWA!???.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Huyo ndio rais wako ndugu...utake usitake..yupo ofisini mpaka 2030..Hatuna Raisi hapo for sure.no wonder kazi yake imekua kufungua makongamano na kuapisha wateule tu.
Mama mama kwani mamako huyoYes yeye ni mzanzibar. Tumuache Mama afanye kazi. Tutamuhukumu kama akifanya yasiyo haki. Unzanzibar wake sio dhambi na wala sio tatizo. Watanzania tunataka usawa na maendeleo. Sio blah blah zisizo kwisha na kuendekeza wizi wa mali ya umma
Inamaana hujui kua hao Wazanzibari asili yao si bara, ambako watumwa walikua wanachukuliwa na kusafirishwa kupitia Soko la watumwa huko Zanzibar kwenda ughaibuni!?Haya Sasa umesema wewe
Maneno na hotuba yako ndeefu haifuti ukweli kua JPM alikuwa mdini,mkabila mbobezi na dikteta.Kusema yeye ni Mzanzibari tayari ni ukabila au ukanda ni bora angesema mimi ni Mtanzania Visiwani/Zanzibari.
Kila Mtanzania ana kabila la asili ambalo linasaidia kufahamu na kutambulisha mila na desturi pamoja kwa yakini uraia wa mtu hata huko Zanzibari kuna Wakoja, Wangazija, Wamakunduchi, Wamvita, Watangana, Wakilindini, Wabarawa, Wakiamu, Wapokomo, Wapemba, Wakivanga, Wakiriama, Wakiduruma, Wakijibana nk.
Kuna makabila zamani nchini Tanzania yalikuwa yakwepwa kupewa nafasi za uongozi ngazi za juu kwenye utumishi wa umma na serikali kwa hofu ya uwiano wao kuhitaji wawe wengi ili kuridhika kwamba ni sehemu ya ujenzi wa taifa. Kuna baadhi ya makabila tangu yalisikika yenyewe tu ikidaiwa kwamba wamesome sana ndio maana walipewa nafasi za uongozi wakati sio kweli.
Ukichukuwa kwa mfano Wanyakyusa walioko wilaya za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya, Wasukuma walioko mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu kwa kipindi kirefu hawakuwa washirika wakubwa wa kiuongozi wa juu sio kwamba hakuna aliyesoma au uwezo ila ni hofu ya uwingi wao kumeza nafasi za wengine kitu ambacho pia sio kweli.
Taifa linatakiwa likwepe sana dhana ya kutoa uongozi kwa mtu kwa taswira ya UDINI, UKABILA, UKANDA na ITIKADI za chama cha SIASA kudhibiti mawazo mbadala yenye kuleta tija kwa Taifa la Tanzania (Bara & Visiwani).
Zamani kabla na wakati wa ukoloni kulikuwa na tawala zenye nguvu sana zikijulikana kama
1. Meruland
2. Chaggaland
3. Pwaniland iliyoanzia Somalia, Kenya, Tanganyika, Zanzibar, Comoro hadi Sofala Msumbiji,
4. Sukumaland
5. Songealand
6. Nk
Enzi za Mwalimu Nyerere wilaya ya Mwanga huko Kilimanjaro chini ya waziri wa fedha na baadae akawa waziri mkuu ndio iliyoonekana kuwa na maendeleo makubwa ya miundo mbinu za barabara za lami, maji na umeme huku wila jirani yake ya Same ikiwa baki kuwa hoi katika nyanja zote; leo hii wilaya hiyo rasilimali zote zimechakaa hakuna wakuziendeleza huku wilaya iliyokuwa nyuma kimaendeleo ya Same iking'ara kwa miundo mbinu ya aina zote mpaka wazekezaji wanavutiwa kuwekeza huko (suala ni mipango inatakiwa iwe ni endelevu hata aliyekuwa ameanzisha akiondoka anayekuja anatakiwa kuendeleza kwa faida ya wananchi sio kuendekeza ukomoaji kwa visingizio vyovyote vile.
Maumbile ya kijiografia ya uliokuwa mkoa wa Shinyanga yafanana na jinsi ulivyo mkoa wa Morogoro kwa sasa ambapo unakuta wilaya moja iko mbali karibia kilomita 300. Shinyanga iligawanywa kutokana na ongezeko la watu hivyo mahitaji ya kiutawala kuongeza kuwa karibu zaidi wakati Morogoro kwa wilaya za Mahenge na Malinyi umbali unawatesa sana wananchi kupata huduma stahiki kwa wakati. Laiti kama kungekuwa na uwezekano wa wilaya hizo kuhamishiwa Iringa ambapo ni kati ya kilomita 140-150km wangehama zamani maana ni karibu kwao.
Kuiita Uzanzibari, Uunguja, Upemba au Utanganyika ni ubaguzi ambao mwisho wake wengi wakikasirika wachache wanaweza kuja kupata shida sana huko mbeleni.
Kwa mfano Watanzania Zanzibar wa Pemba ya kasikazini wanamanung'uniko ya kutothaminiwa na kubaguliwa kwamba wana nasaba na waaarabu wa kishirazi; siku wakipata madaraka ya kuongoza nchi taifa litagawika vipande kadhaa hatarishi kwa umoja wa kitaifa.
Kwa sasa kuna chuki inayoenezwa na baadhi ya Watanzania wenye chuki binafsi dhidi ya JPM kwamba alipendelea wasukuma, alikuwa hashauriki, alikuwa dikteta (kila mmoja ni dikteta kwa nafasi ya dhamana aliyokabidhiwa kuisimamia ili atekeleze kile alichoagizwa na wananchi afanye) hoja ambayo haina ushahidi thabiti ukilinganisha na wingi wao nchini. Watu wanathubutu kumtupia lawama zote bila mamlaka ya nchi kukemea kitu kinachotengeza chuki nyingine dhidi ya nyingine ndani ya chumba kile kile. Siku wakiacha kusemeshana wenyewe ndani wananchi watakipata cha mtema kuni.
Kwa muda mrefu utamaduni wa kila mtumishi kuwajibika kutumikia wananchi kwa ufanisi uliachwa kusimamiwa kwa kisingizio cha demokrasia hivyo kupelekea kila mmoja hasa wasio na maadili mema kutumia nafasi hizo kujinufaisha wenyewe huku wakiwadharau raia waliowapa kazi na kuwalipia mishahara yao kupitia tozo, kodi na michango lukuki bila manung'uniko yoyote.
Viongozi wa nchi acheni kuongoza au kutawala kwa kuelemea UDINI, UKABILA, UKANDA, RANGI ya mtu na ITIKADI Kinzani yenye tija.
Viongozi msitumie vitisho mnapokosolewa kwa kuwa ndio kioo chenu kujirekebisha ili kufanya vema zaidi (dhana ya KUKOSOA na KUKOSOLEWA) ifanye kazi kwa vitendo bila kuangalia nafasi ya mtu mkubwa akubali kukosolewa kama yeye anavyokosowa kwa wanaofanya kinyume na matarajio yake kwa niaba ya wananchi.
Wananchi ndio waajiri wa watumishi wa umma na serikali hivyo kujirekebisha kutokana na kukosolewa huongeza imani, heshima na kutahaminiwa nao.
Ww acha upoyoyo hoja hapa syo kabila bali utaifa.Sasa kosa lake nini apo? Kwani yeye co mzanzibar na wewe co msukuma!!!!
Mungu ampe afiya njema mama samia suluhu hassan, mzanzibari mwenye hekima na busara.
Haya nawasubili wazee wa RIP MAGU, TUTAKUKUMBUKA BABA PUMZIKA KWA AMANI. mutaongea sana lakini uyu ndiye rais we2 bandugu.
Yaani wewe ni bure kabisa. Ulipaswa ubebe silaha ulinde benki!Ww acha upoyoyo hoja hapa syo kabila bali utaifa.
Yeye kajitambulisha kuwa ni toka taifa la zainzibar ambalo kimsingi halipo, lililopo ni Tanzania, ambao ni muungano wa tanganyika na zanzibar,
Hakuna taifa la zanzibar kama sivereign state bila kuwepo tanganyika.
Angesema yeye mkojani poa ni sawa na kusema mimi msukuma
Zanzibar ipo hadi leo. Wazanzibari wapo. Wana serikali yao na mambo yao. Wanachochukia ni kukaliwa kimabavu na ccm inayowalazimishia muungano!Mtu aliyezaliwa Zanzibar mwaka 1960 ni Mzanzibari. Tanzania haikuwepo huo mwaka 1960.
Kaaah! Unailinganisha Zanzibar na Lindi, Dodoma na Kigoma?Yeye "ni MZanzibar", siyo mTanzania"?
Kuna viongozi wengine ndani ya serikali ya Tanzania wanaojitambulisha kuwa wao ni "waLindi, waDodoma, waKigoma", au sehemu yoyote ya Tanzania?
CCM imetufikisha hapa, na ndani ya chama hicho sasa hivi hakuna wenye uwezo wa kututoa kwenye mkanganyiko huu.
Akitokea Zanzibar! WaTanganyika hawawezi kuelewa!Yeye ni kiongozi wa ujumla wa Watanzania.
Kwa hiyo Zanzibar ni Sawa na Tanga ,Mtwara na Dodoma?!!! Khaaa 😳😳Yeye "ni MZanzibar", siyo mTanzania"?
Kuna viongozi wengine ndani ya serikali ya Tanzania wanaojitambulisha kuwa wao ni "waLindi, waDodoma, waKigoma", au sehemu yoyote ya Tanzania?
CCM imetufikisha hapa, na ndani ya chama hicho sasa hivi hakuna wenye uwezo wa kututoa kwenye mkanganyiko huu.
Kwani cheo na heshima ya mama si kwa mwanamke yeyote wa heshima?!!!Mama mama kwani mamako huyo
#Kazi Iendelee Kwa Kasi & Weledi ZaidiHuyo ndio rais wako ndugu...utake usitake..yupo ofisini mpaka 2030..
Mama anaupiga mwingi sana, nyie wenye vijiriba vya roho kazi mnayo
Viva Samia
Kazi iendelee..