Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Na sisi Wenyeji wa Tanga tulio sababisha kuzaliwa kwa jina la nchi yetu ya Tanganyika, tunaruhusiwa kutembea vifua mbele kama kuku walio nyonyolewa?
Mkuu samahani kwa kutoka nje ya mada,hivi neno tanga linaamaana gani?
 
Ulitaka aseme ni ngosha au mangi wa kibosho
Alitakiwa aseme mimi ni MTANZANIA! Lakini kinywa cha mtu husema yaliyojaa moyoni!! Uzanzibari umejitokeza kuwa umejaa moyoni kuliko Utanzania!! Very unfortunate!! Imeshatoka hiyo live!!
 
Pili anashangazwa na watu wanaowaza utadhani wana ahadi na Mwenyezi Mungu kuhusu kujua nani atakuwepo kesho na nani hatakuwepo.maneno ya Nape tar 8.2. 2021 yakatokea ya kutokea tar 17.3.2021
 

Yuko sahihi sanaa,,, sema tuu baadhi yenu hamkupenda uyu mama aongoze nchi sababu ni muisilamu,,,,
 
Yaani hao WaTanganyika wengi wao ni wa ajabu ajabu sana!
Binafsi ni Mtanzania bara...🤣

Tanganyika tulishaizika ili tuwe na taifa bora zaidi liitwalo Tanzania....

Tanganyika imekwenda ....hairudi ngo'oo ng'ooo ng'ooo........

SIEMPRE SERIKALI MBILI ZA JMT
 
Uzanzibari na Uzanzibara ..... hapo anaharibu zaidi...!!
Kilichoharibika ni kwa kuwa yeye amejitaja Mzanzibari ?!!!

Mbona hayati JPM(Rip)alikuwa anajitaja kuwa msukuma na anakiongea akiwa kanda ya ziwa?!!!

Tensions zote hizi zisizo na maana ,mantiki na faida ni za kumtengenezea mh.Rais apate tabu kuongoza.....
 

Kwa akili yako zanzibar utailinganisha na mikoa iliyomo Tanzania!!! Hamuoni aibu kuongea haya!!! Zanzibar tangu lini imekuwa mkoa ndani ya Tanzania!!!! Muungano uliopo ndiyo unakutisha!!!! Tangu mama ashike nchi mnaongea sana,,,,


Mama piga kazi wasikubabaishe hawa wa2,,,wewe ni mzanzibari 2naekuamini na mtenda haki, na tumefurahia kuliongoza nchi lenye wa2 wengi wacojitambua,,,,,
 
Kakosea nini sasa,wakati alikuwa anatoa ufafanuzi kuwa kila mtu ana kabila lake,ila kwa huku kwetu yeye anatambulika kama mzanzibari...
 
Kwanini wengi wetu huku bara tunapenda kuongea baadhi ya mambo tusiyo na uhakika nayo upande wa wenzetu visiwani?!!

Hao wanaotaka mamlaka kamili ni wangapi?!!

Ulipofanya tafiti yako umepata ni wangapi wasemayo hayo?!!!

Zanzibar kuna siasa ngumu na pana....wako wahafidhina wasio CCM na wanaosema maneno hayo.....

Hayati baba wa taifa JK Nyerere aliifuta Tanganyika na kuibakiza Zanzibar kwa sababu nyingi zenye mashiko.....Zanzibar ina dola lake na Rais wake...hilo nalo gumu kulielewa?!!

Uzuri ni kuwa hata Rais wa Zanzibar kipindi hiki ana "nasaba" na huku bara....TUJIVUNUE UPEKEE HUU WA MUUNGANO WETU BORA KUPITILIZA....

Muungano huu hatujauiga katika vitabu vya tawala na falsafa.....

SIEMPRE JMT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…