Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani kwa kutoka nje ya mada,hivi neno tanga linaamaana gani?Na sisi Wenyeji wa Tanga tulio sababisha kuzaliwa kwa jina la nchi yetu ya Tanganyika, tunaruhusiwa kutembea vifua mbele kama kuku walio nyonyolewa?
Alitakiwa aseme mimi ni MTANZANIA! Lakini kinywa cha mtu husema yaliyojaa moyoni!! Uzanzibari umejitokeza kuwa umejaa moyoni kuliko Utanzania!! Very unfortunate!! Imeshatoka hiyo live!!Ulitaka aseme ni ngosha au mangi wa kibosho
Pili anashangazwa na watu wanaowaza utadhani wana ahadi na Mwenyezi Mungu kuhusu kujua nani atakuwepo kesho na nani hatakuwepo.maneno ya Nape tar 8.2. 2021 yakatokea ya kutokea tar 17.3.2021Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Yaani hao WaTanganyika wengi wao ni wa ajabu ajabu sana!Kwa hiyo Zanzibar ni Sawa na Tanga ,Mtwara na Dodoma?!!! Khaaa 😳😳
Fikra za ajabu hizi.....🤣
Sasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!
Ww acha upoyoyo hoja hapa syo kabila bali utaifa.
Yeye kajitambulisha kuwa ni toka taifa la zainzibar ambalo kimsingi halipo, lililopo ni Tanzania, ambao ni muungano wa tanganyika na zanzibar,
Hakuna taifa la zanzibar kama sivereign state bila kuwepo tanganyika.
Angesema yeye mkojani poa ni sawa na kusema mimi msukuma
Uzanzibari na Uzanzibara ..... hapo anaharibu zaidi...!!Zanzibar hakuna makabila eti?
Binafsi ni Mtanzania bara...🤣Yaani hao WaTanganyika wengi wao ni wa ajabu ajabu sana!
🤣🤣Haya Mkuu....Ndiyo
Kilichoharibika ni kwa kuwa yeye amejitaja Mzanzibari ?!!!Uzanzibari na Uzanzibara ..... hapo anaharibu zaidi...!!
Afadhali maana ungeendelea ningesema makubwa😁😀😁😀🤣🤣Haya Mkuu....
Yeye "ni MZanzibar", siyo mTanzania"?
Kuna viongozi wengine ndani ya serikali ya Tanzania wanaojitambulisha kuwa wao ni "waLindi, waDodoma, waKigoma", au sehemu yoyote ya Tanzania?
CCM imetufikisha hapa, na ndani ya chama hicho sasa hivi hakuna wenye uwezo wa kututoa kwenye mkanganyiko huu.
😳🤣🤣Afadhali maana ungeendelea ningesema makubwa😁😀😁😀
Kakosea nini sasa,wakati alikuwa anatoa ufafanuzi kuwa kila mtu ana kabila lake,ila kwa huku kwetu yeye anatambulika kama mzanzibari...Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kwanini wengi wetu huku bara tunapenda kuongea baadhi ya mambo tusiyo na uhakika nayo upande wa wenzetu visiwani?!!Kama Zanzibar haijakufa, kumbe basi ni kipi ambacho kila kukicha wanakilalamikia na kudai kwamba wanataka nchi yao yenye mamlaka kamili? Braza walichobakiziwa na Nyerere ni kopo tupu hawana lolote na hawana identity yoyote nje ya Tz. Kujitambulisha kwa kujiita Mzanzibar au Mtanganyika na hasa kwa mtu wa levo ya Rais siyo sawa kwa sababu hii inasisimua utaifa ambao tuliuua na kujibatiza wote kwa Utanzania.