Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

yaani wabongo mnashida sana badala ya kuangalia mambo gani ya muhimu anayafanya yaani mmekaa kufuatilia neno kwaneno anayoyasema ilikutafuta kaneno gani amekosea ili mje jukwaani muanze kumsema vibaya mboa hamusiff mambo mazuri anayofanya mbona hamusemi kuwa hapa kakosea angefanya hivi kuhusu mambo ya msingi yaani mnanikimbusha spika alivyokosea kidogo tu bungeni ukawa wimbo
 
Yaani Rais kusema Mzanzibar mnaona kosa daah ndio maana wanakuja na Tozo za hewa...
 
Mtu yeyote dhaifu huwa anapenda sana kujibainisha kwa kauli za hivi,
* Mimi ndio Mama yako nimeshasema
*Mimi ndio Baba wa Nyumba hii
* Mimi ndio Rais

Yule unaemwambia wewe ni fulani, tayari anakujua wewe ni nani kwake. Hakuna ulazima wa kujipambanua kwake. Wewe toa amri tu nini unataka kifanyike.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!

====

Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...

Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani. Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Sasa hapo kakosea nini? Kwani sio mzanzibari? Ni meundi au msukuma?
 
Mama Samia wala usiangaike kuwajibu watanzania tuna vimaneno sana .Kwani kuna sheria inakukataza usiteue mtu wa kabila fulani. Wakuache kila mtu na zama zake
 
Back
Top Bottom