Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazanzibari karibia wote tunauchukia utanzania, hatuna jinsi tuSasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!
Samia ni Mtanzania na ndicho alipaswa atamke.
Watanganyika mna nini lakini?Ana tumia nguvu nyingi sana naza wazi kui favour zenji saivi, hatoboi mbari huyu
Na udini Mbona hasemi?Nauona umeshamiri sana kwenye teuzi zake.Leo anapo apisha naona imeshikwa kuruani tu.Hata Sofia naona ameshika quruani.Wilaya ya Iringa na Mufindi wame teuliwa wazanzibari.Mbona Zanzibar wanna serikali yao?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Sio kitu cha kujifunziaMtu kwao.kwani kuna ubaya?
Angesema yeye ni Msukuma kama ilivyokuwa kwa mwendazake ingekuwa sawa?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kwa hiyo yeye sio Mtanzania Bali ni MzanzibarRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Nani anayemtuhumu? Ila mimi nimezungumzia mleta mada kuchomoa sentensi moja na kuileta hapa badala ya kuleta content nzima! Kuna maelezo alianza nayo yaliyoelekea kutamka yeye ni mzanzibar, MZBR haikuwa main content ya ujumbe aliotaka kuuwakilisha
Ni lini Watanzania tutaacha kufuata upepo? Kusema yeye ni zanzibar ni kosa? Hivi nani hana asili na kabila? Amesema na mmesikia kuwa yeye hachagui kwa kabila sasa unataka useme yy ni mluguru? Wakati siyo!!!!, jamii ijifunze na mh Raisi ameshasema na ameeleweka mnaotaka kutafuta maana na tafsiri ya alichokisema hamtakipata maana yeye ameshasemaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kwani wale waliopendekeza uwepo mfumo wa vyama vingi walikuwa wangapi ukilingganisha na wale waliokataa?Naona mama ana jaribu kuwajibu sana watu wa mitandao, mi nadhani ange wapotezea hawafiki hata 10% ya watanzania