Yeye ni Mzanzibari hata hasiposema.Ukweli kakosea kusema ni mzanzibar,Hiyo kitu haikibaliki kabisa .Yeye ni Mtanzania ndo Mana ni Rais wa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
usikose kunitag ndugu Sandali Ali!Kuna siri nitakuja kuitoa hapa mtabaki midomo wazi
Nimejikuta tu nayakumbuka maneno ya Mwl, "Mimi ni mzanzibar na wao ni wazanzibara..."
Leo kachekesha sana, anasema Zanzibar hakuna makabila alafu ghafla akaanza kutaja wakojani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zanzibar hakuna makabila eti?
Sasa hapo kakosea nini? Kwani sio mzanzibari? Ni meundi au msukuma?Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani. Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Wewe Kiswahili ndiyo tatizo.Anawagawa Wananchi kusema ni mzanzibar wakati ni Rais wa Tanzania ,hapo watu wataanza kuhoji kama ni mzanzibar basi aende akatawale kwao Zanzibar.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujingaAcha kiherehere