Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!
Watanzania tuna Mambo mengi tena Muhimu tu ya Kufanya na siyo huu Upopoma ( Upuuzi ) wako uliouleta hapa.

Sijaona tatizo kwa Rais kutamka hivyo.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!
Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi humu. Nyerere alikikubali kizanaki na kukiongea hadharani. Maghufuli jukwaani alikuwa akihutubia live kisukuma . Hatukuwahi kukuona wala kukusikia ukihoji [emoji102].

Bora hata huyo Samia kasema ukweli. Licha ya kuwa mZanzibari hapendi ukanda. Tuondolee usukumagang hapa [emoji107]
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!
Mbona Ngosha alikuwa anatwanga Kisukuma hadharani kwa hadhara ya wasijua Kisukuma yaani official state speeches!

JF ongezeni moderators, inaweza kuwa ni ngumu kuwalipa ila pambaneni mpate wadhamini mpate fedha, Jukwaa lenu linashuka hadhi sana, sababu kubwa ni aina ya Mada zinazoanzishwa

Siku hizi Mlevi yeyote anaweza kuamka na kuja kumwaga pumba zake zinazomjia kichwani jukwaani.

Alichoongea Samia ni tofauti na alichoandika huyu jamaa, yeye kadokoa sentensi moja tu kaimwaga hapa, na wanaokomenti nao ni walewale tu
 
Angesema moja kwa moja kwamba yeye ni mzanzibara ingependeza zaidi...
 
Back
Top Bottom