Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Hongera zake kwa kujitambua kwake!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mzanzibari mwenye asili ya Bara!!Ila ana asili ya Zanzibari.
Acha mikwaraKuna siri nitakuja kuitoa hapa mtabaki midomo wazi
Haya Sasa umesema wewe
Sasa ulitaka aseme nini? Kwani kaongopaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
Kwan Zanzibar IPO WAP? Au IPO KenyaSasa kama ni Mzanzibar si akatawale huko kwao Zanzibar?!
Samia ni Mtanzania na ndicho alipaswa atamke.
Ana tumia nguvu nyingi sana naza wazi kui favour zenji saivi..hatoboi mbari huyu
Alijaribu kujenga hoja kwamba anapotumbua mtu haangalii kabila. Wanataka kumbananisha na uzanzibari wakati hajajikita huko.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
Visiwani ni wahamiaji watupu huwa hakuna kabila. Machotara ni zao la ukosefu wa makabila.Zanzibar hakuna makabila eti!!??
Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi humu. Nyerere alikikubali kizanaki na kukiongea hadharani. Maghufuli jukwaani alikuwa akihutubia live kisukuma . Hatukuwahi kukuona wala kukusikia ukihoji [emoji102].
Bora hata huyo Samia kasema ukweli. Licha ya kuwa mZanzibari hapendi ukanda. Tuondolee usukumagang hapa [emoji107]
Hii tabia ya kuchukua neno moja ili kupotosha kauli za Rais inakera sana! Rais kazungumza Uzanzibar kuua primitive notion ya ukabila. Kwamba mtu akitenguliwa anasema kisa kabila lake. Ili uelewe ni hivi; hakuna kabila la Zanzibar.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
Usisahau kunitag mkuu!Kuna siri nitakuja kuitoa hapa mtabaki midomo wazi