Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

JF ongezeni moderators, inaweza kuwa ni ngumu kuwalipa ila pambaneni mpate wadhamini mpate fedha, Jukwaa lenu linashuka hadhi sana, sababu kubwa ni aina ya Mada zinazoanzishwa

Siku hizi Mlevi yeyote anaweza kuamka na kuja kumwaga pumba zake zinazomjia kichwani jukwaani.

Alichoongea Samia ni tofauti na alichoandika huyu jamaa, yeye kadokoa sentensi moja tu kaimwaga hapa, na wanaokomenti nao ni walewale tu

..Maza anatuhumiwa kupendelea Waznz.

..katikati ya manung'uniko hayo Maza anasema yeye ni Mzanzibari!!

..Na Mznz kutokuwa na kabila haimaanisha kwamba hawezi kuonea kabila fulani.
 
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!
😂😂😂😂 Dah Uraisi mgumu sana,mimi sijaona alichokosea,ingawa anaonyesha chuki ya wazi kabisa kwa Magu,na nafikiri kuna watu wamemshtua kwamba unaharibu sasa anaanza kujikosha
 
..Maza anatuhumiwa kupendelea Waznz.

..katikakati ya manung'uniko hayo Maza anasema yeye ni Mzanzibari!!

..Na Mznz kutokuwa na kabila haimaanisha kwamba hawezi kuonea kabila fulani.
Nani anayemtuhumu? Ila mimi nimezungumzia mleta mada kuchomoa sentensi moja na kuileta hapa badala ya kuleta content nzima! Kuna maelezo alianza nayo yaliyoelekea kutamka yeye ni mzanzibar, MZBR haikuwa main content ya ujumbe aliotaka kuuwakilisha
 
Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi humu. Nyerere alikikubali kizanaki na kukiongea hadharani. Maghufuli jukwaani alikuwa akihutubia live kisukuma . Hatukuwahi kukuona wala kukusikia ukihoji [emoji102].

Bora hata huyo Samia kasema ukweli. Licha ya kuwa mZanzibari hapendi ukanda. Tuondolee usukumagang hapa [emoji107]
We nawe ndiyo wale wale sukuma gang ni akina nani hao? Acheni huu utopolo!
 
Wewe ni moja kati ya watu wapuuzi humu. Nyerere alikikubali kizanaki na kukiongea hadharani. Maghufuli jukwaani alikuwa akihutubia live kisukuma . Hatukuwahi kukuona wala kukusikia ukihoji [emoji102].

Bora hata huyo Samia kasema ukweli. Licha ya kuwa mZanzibari hapendi ukanda. Tuondolee usukumagang hapa [emoji107]
Nyie ndo mnamuharibia huyo Bibi,watu wanahisi mnatumwa naye kumbe mnajituma wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"

Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.

Samia umekosea sana!
Hujaelewa alichosema, nenda shule kidogo utaelewa. Acha kuhisi hisi wewe, Mwache rais wetu afache kazi, acheni mambo ya sukuma gangs.
 
Amekosea nini enyi wakosoaji?
You will always search for a tiny spot and stay there lamenting.
 
Shida iko wapi hapo
Shida inaweza isionekane,ila imejificha.
Kumbuka,alimnukuu Mwl. Nyerere kuwa tujivunie UTANZANIA wetu na siyo Ukabila. Kimsingi Mama yetu Samia ni MTANZANIA anayetoka au kuzaliwa Zanzibar. Ikibaki hivyo,tutaelewa zaidi dhana ya Mwl Nyerere ya kupinga Ukabila, Ukanda katika utambulisho kama RAIA wa Tanzania.
Niko tayari kusahihishwa na naamini ndicho Mama alichomaanisha japo ndo hivyo kwa wengine kutoelewa .
 
Mama plz usianzishe vita na wasukuma wale watu wametubeba sana CCM 2015 na 2020.
Kama ukumpenda mtangulizi wako usichukie na jamii yako yote. Lile kundi likisimama na wapinzani tutapata shida.
Mutapata shida wewe na nani?

Kwani kuna Mtu amekatazwa kuwa Upinzani? Yaani kusema yeye ni M-Zanzibar imekuwa nongwa!

Kuna yule alikuwa anahutubia kikabila akifika huko kwao, mlisema nin?
 
Shida inaweza isionekane,ila imejificha.
Kumbuka,alimnukuu Mwl. Nyerere kuwa tujivunie UTANZANIA wetu na siyo Ukabila. Kimsingi Mama yetu Samia ni MTANZANIA anayetoka au kuzaliwa Zanzibar. Ikibaki hivyo,tutaelewa zaidi dhana ya Mwl Nyerere ya kupinga Ukabila, Ukanda katika utambulisho kama RAIA wa Tanzania.
Niko tayari kusahihishwa na naamini ndicho Mama alichomaanisha japo ndo hivyo kwa wengine kutoelewa .
Kaonyesha majivuno?
 
Nyie ndo mnamuharibia huyo Bibi,watu wanahisi mnatumwa naye kumbe mnajituma wenyewe
Kuna wati bila kubebwa hawaamini kama maisha yanawezekana....Hawa chawa ambao kazi yao ni kufikiria urefu wa pua zao ni shida sana na wanamchonganyisha Rais na wananchi wa kawaida...Ilikuwa hivi kwa JK, JPM na sasa tabia hii inakomaa zaidi na zaidi hata awamu hii...Ni vizuri viongozi wetu wakakataa mambo ya hovyo kama haya
 
Back
Top Bottom