Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

Unashughuki
Unashughulikiaje masuala hayo ya msingi chini ya uongozi kama wa Chalamila. Huoni uhusiano uliopo kati ya uongozi wa hovyo na kukosekana kwa huduma za kijamii zikiwepo huduma za kiafya? Matatizo ya nchi za kiafrika yanatokana na uongozi mbovu. Hatua ya kwanza ya kukabiliana na matatizo yetu ni kuukubali ukweli huu na kuufanyia kazi.
 
Nani amshughulikie nani wakati wote wanapaswa kushughulikiwa? Sijui kama ngamia aweza kumcheka ng'ombe nundu au kobe kumcheka kasa ikawa haki. Mama apendavyo machawa yanayojipendekeza na kumramba manonihino, huwajibika anapoguswa yeye tu.
 
Ukiwa kiongozi inabidi upime maneno kabla ya kutamka, inasikitisha Kwa kauli kama hiyo kutoka Kwa kiongozi mkubwa wa mkoa
 
By all means, kumshughulikia Chalamila hakutaweza kutatatua changamoto za kiuchumi na huduma za afya zinazotukabili.
Tushughulikie masuala ya msingi.
 
Selfishness ndio shida yetu kuu !
 
Naunga mkono hoja, mwaka 2019, msikilize hapa anachowaambia polisi wa Mbeya,
View: https://youtu.be/DU2KYclh1l8, mimi nilisema kitu kumhusu mtu huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea? Humo nilisema
Muda niliouzungumza hapo sasa unakaribia,
P
 
Umeandika Mavi! Chalamila yuko saaana! Makonda mlipiga kelele weee yeye bado anadunda
 
Amini amini nakwambieni hatofanya hivyo. Kwanza jana umesikia kampa maagizo mengine which means the man is here to stay.
Serikali iache kuwa inatangazia umma kuwa sijui huduma za kujifungua kwa wajawazito ni bure, elimu bure ili watu waache kuilaumu.
kuwatangazia wananchi elimu bure halafu baadaye uwageuke uanze haa yani ubebe mimba uje kujifungua bila ela ni ukigeugeu wa kiwango cha juu.
Kwa sababu hatujawahi kuambiwa kupata Air Tanzania ni bure, ndiyo maana hujawahi kusikia mtu kaenda kupanda pipa bure.
 
Wakili asiye na akili. Tuchangie huduma za matibabu siyo kujipendekeza kwa kigezo cha mama
Basi serikali iache kuwalaghai watu iwaambie ukweli kuwa elimu si bure, huduma si bure. Ila utawasikia majukwaani wakiwambia, tumefanikiwa kutoa elimu bure na huduma za kujifungua kwa mama wajawazito.
Wakisema si bure hakuna atakayelalamika maana anajua.
Wewe umewahi kusikia mtu anaenda kupata Air Tanzania bure? Ni kwa sababu serikali haijawahi kutangaza kuwa ni huduma ya bure.
Kosa ni serikali kusema uongo halafu iwageuke.
 
Acheni kutetea ujinga bwana , utatunzaje mimba miezi 9 huna hata 50k ya kujifungulia? Kwa mantiki hiyo ilibidi akijifungua tu huyo mtoto unyanganywe akatunzwe na jeshi
 
Acheni kutetea ujinga bwana , utatunzaje mimba miezi 9 huna hata 50k ya kujifungulia? Kwa mantiki hiyo ilibidi akijifungua tu huyo mtoto unyanganywe akatunzwe na jeshi
Nyie UWT hamnaga akili utadhani ni matajiri haswa kumbe ni wapiga mizinga kwenye maduka ya watu, unajua mtu kapitia changamoto gani baada ya kupata mimba?
 
Rais anaenda Zimbabwe
 
Nyie UWT hamnaga akili utadhani ni matajiri haswa kumbe ni wapiga mizinga kwenye maduka ya watu, unajua mtu kapitia changamoto gani baada ya kupata mimba?
Visingizio tu bwana , na ndio maana sisi nchi masikini tunaongoza sana kwa kuzaliana bila hata mpangilio ; unakuta mwanamke anasema aliambiwa dawa ya kuumwa kiuno ni kuzaa hivyo akazaa (kwa mentality za aina hii kuna kuoneana huruma kweli?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…