Rais Samia Mkutano umeisha, sasa ni muda wa kumshughulikia RC Chalamila

Visingizio tu bwana , na ndio maana sisi nchi masikini tunaongoza sana kwa kuzaliana bila hata mpangilio ; unakuta mwanamke anasema aliambiwa dawa ya kuumwa kiuno ni kuzaa hivyo akazaa (kwa mentality za aina hii kuna kuoneana huruma kweli?)
Una hoja ya kijinga sn, kutunza mimba kunapitia mambo mengi sn + gharama kubwa, ndiyo maana mwanamke asipopata matunzo vizuri anakuja kuzaa machawa tupu kama nyie, watu wenye vipato vidogo wasizae?
 
Una hoja ya kijinga sn, kutunza mimba kunapitia mambo mengi sn + gharama kubwa, ndiyo maana mwanamke asipopata matunzo vizuri anakuja kuzaa machawa tupu kama nyie, watu wenye vipato vidogo wasizae?
Kipato chako hakiruhusu kuzaa sasa unazaa ili iwaje?
 
Daaahjamaa umepiga spana ya kiume kabisa bila woga... Na upo verified na namba umeweka... wakipatikana kumi kama wewe trust me nchi itabadilika hii bila LISSU kuhusika
 
Wewe unatakiwa Mirembe haraka sn
Mirembe kwa kuuliza kama kipato hakiruhusu kuzaa unazaa ili iweje?
Hivi mnajiulizaga kinachotofaitisha nchi zetu hizi na zile zilizoendelea?
Switzerland na Kenya miaka ya 60 huko zilikuwa na idadi ya Watu wanaolingana (~6 milioni), miaka 60 baadae Kenya ina watu zaidi ya 50 milioni wanaoishi kwenye ufukara uliotukuka wakati Switzerland ina watu ~7 milioni wanaishi maisha mazuri
Unadhani na huko kuna Watu wana zaa eti kisa viuno vinauma?
 
Kwamba watu wengi ni tatizo na siyo sera zenu mbovu za CCM? ufisadi na v8 zinashindikana nini kumhudumia mtanzania tena mlipa kodi?
 
Kwamba watu wengi ni tatizo na siyo sera zenu mbovu za CCM? ufisadi na v8 zinashindikana nini kumhudumia mtanzania tena mlipa kodi?
Watu wengi ni tatizo kubwa kuliko hata CCM yenyewe, hamna nchi hata moja ambayo Watu wake wanazaliana bila mpango na wakawa katika mazingira mazuri
CCM hii unayoiponda hata ikitoka kesho na wakaingia CHADEMA hamna maajabu yatakayoonekana kama ukurutu mwingine wa vyama vya upinzani vilivyoangusha vyama tawala vikongwe barani hapa
Tusipoambiana ukweli hatufiki kokote , yaani nchi ina Watu milioni 60 lakini ukichambua kati ya hao unakuta wenye mchango wa moja kwa moja kwenye maendelo ya taifa hawafiki hata 10 M
 
Tutafutie uweke ili kumprove wrong, hakuna contexts yeyote inayoweza kujustify upumbavu aliozungumza Chalamila.

Huwezi kumchafua mchafu Chalamila amekosea na awajibike kwa makosa yake, scenario ipi unayoweza kutumia kumtetea kwa maneno ya kipuuzi na udhalilishaji aliyosema? Clip ina zaidi ya dakika 5 unataka nini zaidi
 
Yaani wabongo mnapenda kumung'unyiwa maneno mpaka mnakera, yaani kusemwa tu juu ya mtu kwenda kujifungua hana hata senti mkononi ishakuwa nongwa
 
Yaani wabongo mnapenda kumung'unyiwa maneno mpaka mnakera, yaani kusemwa tu juu ya mtu kwenda kujifungua hana hata senti mkononi ishakuwa nongwa
Kama umeamua kuiweka mfukoni akili yako mimi ni nani nikulazimishe uitumie? Inawezekana kwa akili yako mja mzito kukosa 50,000/ ni kitu kidogo sawa na hela ya bia.

Ila mwananchi masikini ambaye anajua sera ya serikali inasemaje kuhusu wajawazito akitaka kupata ufafanuzi kwa kiongozi akajibiwa kipumbavu na kiongozi mpumbavu halafu unataka wote tuwe wapumbavu tukubaliane na upumbavu atashangaa sana kuishi kwenye jamii ya wapumbavu isiyojali thamani ya mjamzito.
 
"Laiti wanaume tungekuwa tunatongozwa tungekuwa tunaitikia ndio tu na ukimwi usingeisha maana wewe fikiria umekutana na pisi imenyooka inakutongoza utasema hapana kweli?"

maneno ya Albert Chalamila akiwa kwenye kongamano la kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
 
Alichowaambia Chalamila ni ukweli mkavu, eti kisa mwanasiasa fulani kakwambia kujifungua bure wewe na mkeo mnabebesha hilo tumbo bila hata senti mkononi mnajongea kituo cha afya afu eti bila hata aibu unataka mpaka glovu za kumshika mwanao zitoke kwa ufadhili? Hivi serikali ikisema ikunyang'anye hiyo mtoto imtunze yenyewe unapakulalamikia? Maana kumzaa tu umezaa kwa hisani, je hayo matunzo utaweza?
Nchi ina Watu milioni 60 lakini wanaochangia katika mfuko wa bima wa taifa hawazidi milioni 5, mnataka hao milioni 5 ndoo wachangie hao wengine wajifungue? Ni mentality hii hii ndio mmeipeleka kwenye ARV; zinaa ufanye wewe na ukimwi uukwae wewe ila kwenye matibabu unataka uhusike mpaka msaada wa Watu wa Marekani , kweli?!!
Kwa mentality hizi hizi ndio maana kuna mdau aliwahi sema nchi ina Watu milioni 60 ila usishangae kati ya hao ni milioni 10 - 15 wenye mchango wa moja kwa moja kwenye pato la taifa (yaani Watu milioni 40+ ilibidi hata kukanyaga barabara za lami wasikanyage)
 
Duu wameanza kumoana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFfAteyitsP/?igsh=MWdoaXo1a3d3aXBk
 
Unashindwa kutumia kichwa chako vizuri unabaki na mihemko, ni upuuzi ukijiona una uwezo kutaka kuwadharau wasio na uwezo.

Upuuzi wa kwanza; kwamba mwanasiasa fulani kakuambia. Sera ya serikali kuhusu wajawazito inasemaje? Nu matamko ya mwanasiasa fulani au ni sera ya serikali? Na kama serikali imeshindwa kutumiza majukumu yake kutokana na sera zake ilizotumia kwenye kampeni iliyoiingiza madarakani nani alaumiwe? Mwananchi aliyesikia hiyo sera akaiamini?

Kama serikali imeshindwa kwenye hili ni lini walitangaza mabadiliko kwenye sera hii? Na gloves gharama yake ni sh 50,000? Wananchi walitangaziwa ili akienda ajue anatakiwa nini? Kiongozi wa serikali kwa mapungufu yenu kwa mtu ambaye yuko kati ya uhai na kifo unaweza kumjibu hivyo? Ni wapumbavu walevi wajinga wasio na utu wanaoona ni sawa simply wewe una hela za kumudu.

Je watanzania wote wana uwezo? Wamewezeshwa ili waweze kumudu kulipia gharama za mfuko wa bima? Wangapi walioajiriwa? Wanaobangaiza maisha? Nk. Tukiwa na jamii ya wapumbavu wasiojali maisha hakuna mipango thabiti inayoweza kufanywa ilu kutatua matatizo yetu, tena tukiwa na raia wasio na akili na utu ndio jamii unazidi kuwa ua wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…