PostGE2025 Rais Samia: Mmenipa heshima kubwa mno! Ulimwengu unauliza, “Kwanini asilimia 97?” Nasema natamani mngekuwepo, mkaona

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu,

Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕

==

Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.

Samia amesema hayo Ijumaa Novemba 21, 2025 alipotua katika Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) na kuzungumza na wananchi waliofika uwanjani hapo Kumpokea, akianza ziara yake ya siku mbili Mkoani Arusha. Ambapo leo Jumamosi Novemba 22, 2025 anatarajiwa kutunuku Kamisheni na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha.

Huyu mama hana aibu hata chembe
 
akina Martha Karua mbona walikuwa wanakuja washuhudie wenyewe MKAWAKATAZA, mtandao mlizima kwa nini si DUNIA nzima ingeshuhudia hizo 98% aya basi kwa upendeleo tuonyesheni picha mlizopiga nyie wenyewe maFISIEMU kuonyesha misururu ya watu kukupigia hizo 98%
 
Back
Top Bottom