PostGE2025 Rais Samia: Mmenipa heshima kubwa mno! Ulimwengu unauliza, “Kwanini asilimia 97?” Nasema natamani mngekuwepo, mkaona

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wakuu,

Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕

==

Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.

Samia amesema hayo Ijumaa Novemba 21, 2025 alipotua katika Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) na kuzungumza na wananchi waliofika uwanjani hapo Kumpokea, akianza ziara yake ya siku mbili Mkoani Arusha. Ambapo leo Jumamosi Novemba 22, 2025 anatarajiwa kutunuku Kamisheni na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha.

Hata cha kusema sina....hao wanaomsikiliza na wenyewe watakuwa wanaelewa....
 
IMG-20251111-WA0002.jpg
 
Wakuu,

Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕

==

Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.

Samia amesema hayo Ijumaa Novemba 21, 2025 alipotua katika Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) na kuzungumza na wananchi waliofika uwanjani hapo Kumpokea, akianza ziara yake ya siku mbili Mkoani Arusha. Ambapo leo Jumamosi Novemba 22, 2025 anatarajiwa kutunuku Kamisheni na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha.

Ameshaua, angeacha utekaji sasa.
 
Awakumbuke na atakapokuwepo mahakamani ya ICC
 
Heri wenye moyo safi wata kao uona sijui nini mathayo kwenye bibliia imeandikwa
 
Huyu kweli hana akili timamu! Hivi kwa akili yake anaamini alipata hizo asilimia zilizotengenezwa na wale mashetani yake?
 
Back
Top Bottom