Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Baba Clemence Mwandambo mara hii umeshatoroka kwenye gereza la mafwele? ๐๐๐๐๐๐Wengine wanauliza how ? ๐
Kuna vitu sio vya kucheka bali kuangua kilio๐ฅฑ
Wanamshangilia Rais waoHata wanaohutubiwa huo upuuzi wanajisikiaje
Inasikitisha sanaHata wanaohutubiwa huo upuuzi wanajisikiaje
Anatengeneza content yupo mtaani mbonaBaba Clemence Mwandambo mara hii umeshatoroka kwenye gereza la mafwele? ๐๐๐๐๐๐
Huyu mama hana aibu hata chembeWakuu,
Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? ๐ค
==
Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.
Samia amesema hayo Ijumaa Novemba 21, 2025 alipotua katika Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) na kuzungumza na wananchi waliofika uwanjani hapo Kumpokea, akianza ziara yake ya siku mbili Mkoani Arusha. Ambapo leo Jumamosi Novemba 22, 2025 anatarajiwa kutunuku Kamisheni na Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Maafisa wanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli Mkoani Arusha.
akina Martha Karua mbona walikuwa wanakuja washuhudie wenyewe MKAWAKATAZA, mtandao mlizima kwa nini si DUNIA nzima ingeshuhudia hizo 98% aya basi kwa upendeleo tuonyesheni picha mlizopiga nyie wenyewe maFISIEMU kuonyesha misururu ya watu kukupigia hizo 98%Wakuu,