Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje Bunge la 12, kuna nini?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.

​
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na kusitisha shughuli za Bunge ili Rais aingie.

Your browser is not able to display this video.
Hali ilivyo nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma

​
 
Alikaribishwa kwa popcorn alipoingia akazifakamia. Amepatwa na kizungunguzingu, hawezi kusimama.

Hizi nawapa za ndani kabisa. Mhe. Tulia Ackson analia kama mtoto humo ndani.
 
Alikaribishwa kwa popcorn alipoingia akazifakamia. Amepatwa na kizungunguzingu, hawezi kusimama.

Hizi nawapa za ndani kabisa. Mhe. Tulia Ackson analia kama mtoto humo ndani.
Mhhh
 
Kwanza Ile picha iliyotumika siyo ya Leo ni ya zamani,Yuko hapo DSM amelala
 
Kumi na moja na nusu atakuja, haraka ya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…