We na naniJemedari wetu yupo njiani...😀😀😀
Mno yaani i wish tukiwashe kama KenyaDude linaitwa NO REFORMS NO ELECTION SIO MCHEZO TUMECHOKA SANA NA UJINGA UJINGA NA UPUMBAVU.
🤣🤣🤣 we mtu wa ovyo sanaAlikaribishwa kwa popcorn alipoingia akazifakamia. Amepatwa na kizungunguzingu, hawezi kusimama.
Hizi nawapa za ndani kabisa. Mhe. Tulia Ackson analia kama mtoto humo ndani.
Baba tunae????Ukute na leo atachamba kama kawaidayake..mumewe sijui anaishije naye vip
Kaaa mkao wa kula kwa jinsi kitaa watu walivomchoka mama enu ni kusubiri filimbi tuMno yaani i wish tukiwashe kama Kenya
Acha umbea Rais anahutubia bungeRais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na kusitisha shughuli za Bunge ili Rais aingie.
Hali ilivyo nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma
makamu mstaafu vp yupo ?Mama ndo anaanza kuhutubia
Na sasa hivi una maoni gani?Anaandika hotuba anafuta, NO REFORMS NO ELECTION mwiba mkali
Hajafika wapiBado hajafika? 😹