TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Acha muhemukoRais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na kusitisha shughuli za Bunge ili Rais aingie.
Hali ilivyo nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma