Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Analitambua hilo kwamba katukwaza sana, inabidi atuombe radhiIlikuwa saa nane na nusu mwanzoni....tuvumilie, kama mlivyomvumilia miaka yote hiyo...alikuwa anafanya kazi kwa matakwa yake na tulitulia, tumvumilie amalize kabisa japo kakwaza sana raia. Isdori pia anafurahi