Rais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje Bunge la 12, kuna nini?

Ilikuwa saa nane na nusu mwanzoni....tuvumilie, kama mlivyomvumilia miaka yote hiyo...alikuwa anafanya kazi kwa matakwa yake na tulitulia, tumvumilie amalize kabisa japo kakwaza sana raia. Isdori pia anafurahi
Analitambua hilo kwamba katukwaza sana, inabidi atuombe radhi
 
yupo bungeni tayari wewe angalia
 
Dude linaitwa NO REFORMS NO ELECTION SIO MCHEZO TUMECHOKA SANA NA UJINGA UJINGA NA UPUMBAVU.
 
Tutaelewana tuu
 
Uchovu wa SGR.
Mama etu kachoka jama
Ukizingatia na Ushauri wa Janabi.
Asee kachoka kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…