Acha muhemukoRais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na kusitisha shughuli za Bunge ili Rais aingie.
Hali ilivyo nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma
Anafanya "trimming" na kesi ya Lissu, ili mradi tu Lissu asisikike. Subiri magazeti ya kesho na taarifa za habari, utapata jibuRais Samia mpaka sasa hajaonekana Bungeni ili alivunje, kuna nini? Awali tuliambiwa ataingia Ukumbini saa Tisa lakini mpaka sasa saa Kumi na dakika 23 bado hajatoke na hakuna taarifa yoyote.
Hapa Spika Tulia akitoa ufafanuzi wa utaratibu wa Bunge wakati Rais na wageni wakiingia Bungeni, na kusitisha shughuli za Bunge ili Rais aingie.
Hali ilivyo nje ya Ukumbi wa Bunge, Dodoma
KiboHajafika wapi
πππππππNimemuona mwashambwa katandika mgongo mama yake apite juu yake ,kisigino tu cha skuna ya mama kilipotua mgongoni mwake akajamba kwa maumivu makali
Mume yupo...hujawahi muona?kajichokeaaBaba tunae????
Naomba namba ya mjukuu wako aje aweke na kwenye tv yanguMjukuu wangu sijui aliweka app gani kwa hii TV yangu hapa living room, maana kila channel ninayoweka, ikitokea sura yake tu mama yenu, channel inaenda nyingine.
Mbona hapati kipaumbele kama first ladies inavokua, sijawahi muona kwenye shughuli yoyoteMume yupo...hujawahi muona?kajichokeaa
Yupogo..labda kawa Yaya wa kiume kulea wajukuuMbona hapati kipaumbele kama first ladies inavokua, sijawahi muona kwenye shughuli yoyote