abdulatif himid
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 326
- 814
Yaani wanyiramba na kupendapenda!Nimefurahi sana kumuona huyu baba, ninampenda hatari, asante sana kwa utumishi wako kwa rais wetu kipenzi JPM
Eti ninampenda hatari!
We Binti wewee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wanyiramba na kupendapenda!Nimefurahi sana kumuona huyu baba, ninampenda hatari, asante sana kwa utumishi wako kwa rais wetu kipenzi JPM
Kipara kipya na mvi mwemwelemwemwele.Kumbe ana kipara
Au ndugu yakoAkipata yeye furaha kwangu
achana nae hajui mwamba alishakua mpambe wa cdf mboma piaunajua mambo ya jeshi kiongozi?yaani saa meja,apande cheo aende wapi?saa meja 2(WO2),akipanda anakuwa WO 1,hapo ndo mwisho kwa vyeo vya maaskari wa chini.
Uliza namna alivyompandisha vyeo marehemu Mej. General Charles Mbuge!!Mkuu yani saa meja apande mpaka kanali hii haipo Duniani kote.