Rais Samia mpandishe cheo shujaa wetu wa leo

Rais Samia mpandishe cheo shujaa wetu wa leo

Ndio nimwenzenu bavicha

USSR
IMG-20210825-WA0023.jpg
 
Mmh hajafa? Mbona wanasema kafa?

Hivi miji yetu ina CCTV cameras? Maana niliona raia wakiwa busy ku record matukio nikawaza na hili la CCTV zipo kama nchi nyingine tunavyoona kwenye movie?
 
Bado. Nataka kujua personality ya huyu mwamba
Inasemekana ni busnesman, wanasema alikua anaenda kuuza vito vya thamani akashikwa na polisi wakamnyanyasa ndiyo yakawa haya yaliyokua,
hii ni tetesi haijadhibitishwa.

Nyingine isiyothibitishwa wanasema alikua na msongo wa mawazo na anamiliki na silaha ndiyo kaitumia kuwakalisha polisi ndiyo akachukua bunduki zao.
 
Nimemshuhudia kijana askari akiwa kwenye vazi la kiraia aliyethubutu kusogea in a close range na ku-risk maisha yake katika kukabiliana na gaidi hili.

Yule kijana anahimili risasi ya gaidi na aliendelea kuwa active hadi mwisho.

Those are rare soldiers we have as Tanzanians ...we are proud of him

Ninesikia Kafa
 
His only problem was to underestimate the power shooting range of the shooter! Only one bullet of the shooter caused serious injuries to our dear policeman
Itakuwa anaendaga kwa kina Mshana fake akapewa hirizi kuwa risasi zitadunda kupelekea kujiamini kwake. All in all amethubutu, hongera kwake.
 
Back
Top Bottom