Rais Samia mpandishe cheo shujaa wetu wa leo

Labda kama hakuwa kwenye syndicate
 
Hiyo English ya Lumumba
Tayari umeshapata likes 12 ndani ya muda mfupi kwa kuleta post tupu tu, ajabu ni kuwa aliyeleta post yenye 'madini' mpaka sasa ana likes 8 tu. Haki ya Mwenyezi Mungu hii bongo hiii....dah!!! Hapa ni jf, sipati picha huko mtaani. Ngoja niitafute tena ile thread inayolalamika wabongo kuwa na vidhihaka vilivyopitiliza muda wote hata kwa mambo ya msingi kiasi kwmb wakubwa wanapata nafasi ya kjifanyia yao wapendavyo!
 

acha ujinga yani unamsifu polisi aliyeuwa raia mwema
 
He puts his life at risk unnecessarily. Harudishwe shule na hasa azingatie somo la risk assessment!!
 
Huyu amefundishwa wapi kufanya mambo kizembe hivi? Kama unajua ilipo target, huna haja ya kujipeleka kirahisi hivyo bila kujua ni aina gani ya silaha dhidi yako. Huyu ana bahati. Angekumbana na mjuzi angekuwa marehemu na si majeruhi. Hakuna haja ya kumpandisha cheo bali kumpunguza kwani ni mzembe tu.
 
Inasemakana kidogo auawe na askari wenzao wakidhani ni Jambazi naye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…